Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Waislamu wa ismailia kiongozi wao Agha Khan wanamuita Mtukufu Agha Khan.Unaamin Google kuliko Bible Yesu kamuita Baba mtakatifu Mungu kwani hakujua neno Lina meaning mbili mbona unatumia nguvu kubwa kumwita mtu Mungu mkuu
Utakatifu ni kujiweka karibu na MUNGU Papa tunamwita Baba Mtakatifu kwasababu ndiye kiongozi mkuu wa kanisa ambaye anatuongoza katika kuliishi na kulitenda neno la MUNGU, kwasababu hiyo basi yeye ni Patron ni msimamizi wa kanisa la MUNGU,Nawaza utakatifu anapewaje kiongozi kibinadamu tu?
Je, kuna ushahidi wa maandiko unaoonesha kuwa Papa anakuwa mtakatifu automatically?
Na Kama Roho mtakatifu anaongea na watu wake kipi wafundishe why wampangie cha kufundisha dunia nzima?
Papa ni His Holiness sio Holy Father.... Kiingereza Papa anatambulishwa kama Holy Father? Au unajitoa ufahamu?
Mbna sijaona palipo andikwa papa hapo ulipo referPapa Francis sio mtakatifu na wala sio kila papa ni mtakatifu ndio maana kuna mapapa wachache ambao tunawaita watakatifu. Sababu ni kwamba Cheo cha Upapa ndio Cheo kitakatifu kwa kuRefer maneno ya Yesu mwenyewe alipomteua Peter kua papa wa kwanza Mathayo 16:18
[18]Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa (Roman Catholic)langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
Uko sahihi kabisaPapa anakuwa mtakatifu Kwa misingi ya kuukubali Na kuupromote ushoga....au cocastic nakosea?
Kati ya makanisa ya Kilokole na Kanisa Katoliki ni wapi ambao wanawa accomodate mashoga kwa kiasi kikubwa ?Papa anakuwa mtakatifu Kwa misingi ya kuukubali Na kuupromote ushoga....au cocastic nakosea?
Papa anaitwa his holiness, hiyo holy father itakuwa ya kijijini kwenu.Wewe husikii MTU akiwa Papa anaitwa holy father Kama jina la Mungu wa Mbinguni
Mkuu ndugu yangu nakusihi acha kubisha vitu vilivyo wazi kabisaKati ya makanisa ya Kilokole na Kanisa Katoliki ni wapi ambao wanawa accomodate mashoga kwa kiasi kikubwa ?
Wapi uliona au kusikia kanisa Katoliki limefungisha ndoa ya watu wa jinsia moja ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ubishi wa kijinga katoliki are satanic believers yaani hakuna utofauti wa ibada za kifreemason na ibada za kiroma,Jana nimehudhuria ibada ya mazishi ya muumini wa roman yaa ni full ushetani mpaka nikaboreka sana,Kati ya makanisa ya Kilokole na Kanisa Katoliki ni wapi ambao wanawa accomodate mashoga kwa kiasi kikubwa ?
Wapi uliona au kusikia kanisa Katoliki limefungisha ndoa ya watu wa jinsia moja ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpumbavu mkubwa wewe, badala ya kujibu maswali niliyouliza , umekuja kunikatikia mauno hapa bila hata kuvaa nguo za ndani utafikiri umeambiwa natafuta mke mwingine wa kuoa.Acha ubishi wa kijinga katoliki are satanic believers yaani hakuna utofauti wa ibada za kifreemason na ibada za kiroma,Jana nimehudhuria ibada ya mazishi ya muumini wa roman yaa ni full ushetani mpaka nikaboreka sana,
Kwenye issue ya ushoga chimbuko lake ni Vatican ndy maana papa wenu amekuwa akiiomba radhi dunia kutokana na vitendo vya mafather kuwalawiti watoto wadogo wanaotumikia shame on you Roman Catholic tubuni mungeukie Mungu wa kweli
Umeandika pumba kabisa yaani unaitafsiri bible kihuni sanaPapa Francis sio mtakatifu na wala sio kila papa ni mtakatifu ndio maana kuna mapapa wachache ambao tunawaita watakatifu. Sababu ni kwamba Cheo cha Upapa ndio Cheo kitakatifu kwa kuRefer maneno ya Yesu mwenyewe alipomteua Peter kua papa wa kwanza Mathayo 16:18
[18]Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa (Roman Catholic)langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
Hayo siyo majibu ya maswali yangu, jikite kwenye majibu sahihi.Mkuu ndugu yangu nakusihi acha kubisha vitu vilivyo wazi kabisa
RubbishKuna Kanisa 'Takatifu' Moja tu Katoliki la Mitume Duniani ambalo humo Kuna Watakatifu sio mmoja ni Wengi Wanapatikana.
Sasa huko mliko kama mna Uhakika hakuna Watakatifu basi ni wakati Sasa Wa Kukata shauri Rudini
Katika KANISA MOJA TAKATIFU LA MITUME!!
Wewe ni mbwa uliyekwenye joto so tulia majibwa yakiume yakushughulikieMpumbavu mkubwa wewe, badala ya kujibu maswali niliyouliza , umekuja kunikatikia mauno hapa bila hata kuvaa nguo za ndani utafikiri umeambiwa natafuta mke mwingine wa kuoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitafuti mke, ziba uchi wakoWewe ni mbwa uliyekwenye joto so tulia majibwa yakiume yakushughulikie
Umeuliza maswali ya kipuuzi nimeyapuuzia
Basi shut the f♤ck up, na ukomae kwenye imani yako inayoielewa, sawa ?Umeuliza maswali ya kipuuzi nimeyapuuzia
Anauliza ujinga anataka majibu ya maana is a living bitchUmeuliza maswali ya kipuuzi nimeyapuuzia
Sawa dogo...vipi padri wenu hajawahi kulawiti?Basi shut the f♤ck up, na ukomae kwenye imani yako inayoielewa, sawa ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kukukataa mazima umeanza kujipitisha kwa mwanaume mwingine ili umuambikize ma utiayi yakoAnauliza ujinga anataka majibu ya maana is a living bitch