Papa wa Kanisa Katoliki anakuwa Mtakatifu kwa misingi ipi?

Papa wa Kanisa Katoliki anakuwa Mtakatifu kwa misingi ipi?

Unaamin Google kuliko Bible Yesu kamuita Baba mtakatifu Mungu kwani hakujua neno Lina meaning mbili mbona unatumia nguvu kubwa kumwita mtu Mungu mkuu
Waislamu wa ismailia kiongozi wao Agha Khan wanamuita Mtukufu Agha Khan.

Kuna wajinga mnadhani mnaweza kuzuia mvuwa, mnajidanganya.
 
Nawaza utakatifu anapewaje kiongozi kibinadamu tu?

Je, kuna ushahidi wa maandiko unaoonesha kuwa Papa anakuwa mtakatifu automatically?

Na Kama Roho mtakatifu anaongea na watu wake kipi wafundishe why wampangie cha kufundisha dunia nzima?
Utakatifu ni kujiweka karibu na MUNGU Papa tunamwita Baba Mtakatifu kwasababu ndiye kiongozi mkuu wa kanisa ambaye anatuongoza katika kuliishi na kulitenda neno la MUNGU, kwasababu hiyo basi yeye ni Patron ni msimamizi wa kanisa la MUNGU,
 
Papa Francis sio mtakatifu na wala sio kila papa ni mtakatifu ndio maana kuna mapapa wachache ambao tunawaita watakatifu. Sababu ni kwamba Cheo cha Upapa ndio Cheo kitakatifu kwa kuRefer maneno ya Yesu mwenyewe alipomteua Peter kua papa wa kwanza Mathayo 16:18
[18]Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa (Roman Catholic)langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
Mbna sijaona palipo andikwa papa hapo ulipo refer
 
Kati ya makanisa ya Kilokole na Kanisa Katoliki ni wapi ambao wanawa accomodate mashoga kwa kiasi kikubwa ?

Wapi uliona au kusikia kanisa Katoliki limefungisha ndoa ya watu wa jinsia moja ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ubishi wa kijinga katoliki are satanic believers yaani hakuna utofauti wa ibada za kifreemason na ibada za kiroma,Jana nimehudhuria ibada ya mazishi ya muumini wa roman yaa ni full ushetani mpaka nikaboreka sana,
Kwenye issue ya ushoga chimbuko lake ni Vatican ndy maana papa wenu amekuwa akiiomba radhi dunia kutokana na vitendo vya mafather kuwalawiti watoto wadogo wanaotumikia shame on you Roman Catholic tubuni mungeukie Mungu wa kweli
 
Mpumbavu mkubwa wewe, badala ya kujibu maswali niliyouliza , umekuja kunikatikia mauno hapa bila hata kuvaa nguo za ndani utafikiri umeambiwa natafuta mke mwingine wa kuoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Papa Francis sio mtakatifu na wala sio kila papa ni mtakatifu ndio maana kuna mapapa wachache ambao tunawaita watakatifu. Sababu ni kwamba Cheo cha Upapa ndio Cheo kitakatifu kwa kuRefer maneno ya Yesu mwenyewe alipomteua Peter kua papa wa kwanza Mathayo 16:18
[18]Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa (Roman Catholic)langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
Umeandika pumba kabisa yaani unaitafsiri bible kihuni sana
 
Kuna Kanisa 'Takatifu' Moja tu Katoliki la Mitume Duniani ambalo humo Kuna Watakatifu sio mmoja ni Wengi Wanapatikana.
Sasa huko mliko kama mna Uhakika hakuna Watakatifu basi ni wakati Sasa Wa Kukata shauri Rudini
Katika KANISA MOJA TAKATIFU LA MITUME!!
Rubbish
 
Back
Top Bottom