Parachichi moja Ufaransa Tsh 6000

Je hii taarifa umeitoa wapi?
Je unafahamu GDP ya ufarasa? (Hapa ili uelewe elewa huu mfano: Hapo Zimbamwe parachichi moja lauzwa Milioni 20)
Je unafahamu gharama halisi za kulifikisha sokoni hilo parachichi moja?
Acha sigara! 6000 anayozungumia ni 6000 kwel yaan kama $2.25 hv sio huo uchafu wa zimbabwe ambao ukibadilisha inaweza isifike dola moja.
 
Acha kutukebehi sisi wahitim!!, yaani tumekosa mtaji wa kuuza chips hapa bongo tupate mtaji wakusafirisha parachichi ulaya?. Au wewe ni Abdul?
 
Sio tu parachichi ukaliona pale Njombe au Mbeya lina sifa za kwenda Ulaya

Kuna vigezo vingi vinahusika mpaka lipate qualifications za kuingia Ufaransa

Kuna mwamba alipambana sana afikie vigezo ili auze Ulaya, kikaja kumwangusha kugezo kimoja tu mwishoni jinsi alivyoyachuma kutoka kwenye miti yake wakamkataa akafeli akaishia kuyauza hapahapa Bongo
 
Hahaaa!! Asilimia 90 ya parachichi zinazoliwa Tz, hazina sifa ya kuliwa ULAYA!! tambua hilo.
sio kweli mkuu, kuna parachichi aina ya hass na wesso ni parachichi pendwa huko ulaya ambapo tanzania inazalisha kwa wingi na madalali wakubwa ni kutoka kenya.
 
Hakika mkuu viongozi wetu bado ni changamoto sana Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…