ni kweli kwa tanzania urasimu wetu ndo unatupa shida huezi amini sisi tunazalisha mara 10 ya kenya ila kenya ndo anaitwa mzalishaji na exporter wa parachichi sababu ya process ndogo sana grading(ubora,ukubwa) na urahisi wa ku export jamani na kenya anatoa maparachichi mengi tanzania mwisho wa siku yeye ndo anachukua tittle ya producer mkubwa
http://files.eacce.org.ma/pj/[1569600032]Kenya.pdf. ....sujui lini tutafungua macho kama kwenye tanzanite tz tunatumika vibaya sana sababu ya viongozi wetu kukosa maono na kurahisisha urasimu wakupeleka vitu nje mwisho ....mungu atusaidie