PARIS JACKSON: Mtoto wa MICHAEL JACKSON kwenye FILAMU yake ya YESU wa Kike

PARIS JACKSON: Mtoto wa MICHAEL JACKSON kwenye FILAMU yake ya YESU wa Kike

Yule bwana Brayan Decon mkakati ule ulifanikiwa kufanya kazi kwa asilimia 100% Aiseee .

Mtu wengi ukiongelea habari za bwana Yesu taswira inayokuja kichwani mwake ni ya yule bwana

Nikapata wasaa nitaleta habari yake yule bwana
Kwa wewe ambaye huna historia kujua kwanini yule bwana alifanyiwa makeup afanane vile ndio unapata shida.

Ila ngoja tukutoe kwenye kundi la Wapumbavu Warner Sallman 1940 ndio alichora picha ikawa maarufu ikauza copy 500 milioni, kwahiyo wakapidi wamfanyie makeup Decon afanane na huo mchoro.

Hakuna nyumba yenye picha ya Decon isipokuwa mchoro wa Warner.
 
Watu wakimdhihaki Mungu usipaniki acha Mungu ajitetee mwenyewe.Kwani Mungu hawezi kujitetea yeye mwenyewe?Yaani Mungu amuumbe binadamu kwa mikono yake mwenyewe halafu ashindwe kumdhibiti?Mimi nashauri wacheze pia filamu inayoonyesha kuwa Yesu na Mungu ni mashoga.
Nimekuelewa sana..wafia dini hawatoelewa
 
Bora watoe na hii movie ili wazidi kuwachanganya wajinga zaidi. Maana kiasi hiki cha muigizaji wa Hollywood kubandikwa picha yake kwenye baadhi ya nyumba kuwa tukiamin ndo yesu dah ni shida. Yesu mwenyewe huko aliko nadhan anaumia sana
Baada ya ufahamu niliyabandua yote ndani, bado nashangaa kanisa katoliki kipindi cha kwaresma zile picha ukutani kuabudu?[emoji848][emoji848]

Siingii church siku hizi
 
Ukifuatilia movie zilizochezwa hapo nyuma, zimewaaminisha wengi kua mtu yule aliyecheza movie zile ndie yesu christo pamoja na matendo yale wanayoyaona...
Hadi imefkia hatua picha za bwana yule zimewekwa majumbani na hata makanisani, na watu wengi, watoto kwa watu wazima wanaamini kua yule ndio yesu mweyewe..

Kama watu wameweza kuamini filamu hio iliyopita kwa kiasi kile, basi tutegemee UPOTOSHAJI mkubwa kwa vizazi vipya vijavyo.. Maana siku hizi watoto wetu wanaangalia chochote kile kwenye TV zetu Majumbani..

"The end is Near.."

Ile filamu bwana ni hatari, mm mpaka leo naamini yesu huko aliko atakuwa anafanana na yule jamaa hahaha
 
Watu wakimdhihaki Mungu usipaniki acha Mungu ajitetee mwenyewe.Kwani Mungu hawezi kujitetea yeye mwenyewe?Yaani Mungu amuumbe binadamu kwa mikono yake mwenyewe halafu ashindwe kumdhibiti?Mimi nashauri wacheze pia filamu inayoonyesha kuwa Yesu na Mungu ni mashoga.
umenena haswaaah rafiki, nimekuelewa vema.
 
Waafrika ni watu wajinga sana. Ndio, narudia tena, Waafrika ni watu wajinga sana. Kwa mfano, wao ndio wamekwazwa sana na hii film kuliko hao wazungu wenye Yesu wao. When are you going to work up Africans? Why are you so stupid like this?
Na mie nashangaa hapa.
 
Hiyo movie itoke haraka iwezekanavyo, watazamaji tunaisubiri kwa hamu kubwa.
 
Waafrika ni watu wajinga sana. Ndio, narudia tena, Waafrika ni watu wajinga sana. Kwa mfano, wao ndio wamekwazwa sana na hii film kuliko hao wazungu wenye Yesu wao. When are you going to work up Africans? Why are you so stupid like this?
Aiseee ,taarifa ilisema makundi, ya kikristo huko huko USA ndiyo yaliyopinga sasa waafrika wametoka wapi???

Pia wakristo wana haki ya Kusimama kidete kutetea Maudhui ya Wanachokiamini
 
Kwa wewe ambaye huna historia kujua kwanini yule bwana alifanyiwa makeup afanane vile ndio unapata shida.

Ila ngoja tukutoe kwenye kundi la Wapumbavu Warner Sallman 1940 ndio alichora picha ikawa maarufu ikauza copy 500 milioni, kwahiyo wakapidi wamfanyie makeup Decon afanane na huo mchoro.

Hakuna nyumba yenye picha ya Decon isipokuwa mchoro wa Warner.
Hongera mkuu kwa kujua kidogo hako kahistoria

Na mimi nitakutoa katika kundi la Wajinga pale nitakapokueleza kuhusu Leornardo Leornardo Davinci, Borgia Caesar, Master Jesus(Antichrist) na huyo Deacon ......
Hadi wakina peter Heymen walipotayarisha movie katika mchuano wa watu 250+

Usjali mkuu tutatoana tu katika makundi mbalimbali taratibu kama ulivyonitoa mimi katika kundi la wapumbavu

Back
Top Bottom