PARIS JACKSON: Mtoto wa MICHAEL JACKSON kwenye FILAMU yake ya YESU wa Kike

PARIS JACKSON: Mtoto wa MICHAEL JACKSON kwenye FILAMU yake ya YESU wa Kike

Huyu mtoto sio bao la Michel Jackson. Ni mbegu ya jamaa fulani mwenye asili ya Israel ambae alipandikiza mbegu na mke wa Michael Jackson...
ni ukweli wacko sio biological father wake
 
Ukitaka kuwaelewa hawa wazungu ni kiasi gani wanafedhehesha dini za watu,jaribu kutafuta series moja inaitwa Preacher humo ndo utaona aibu mwenyewe,unakaa unajiuliza hivi huyu muandika scripts alikua anawaza nini na ni nini ujumbe wake humu.
Aiseee
 
Yule bwana Brayan Decon mkakati ule ulifanikiwa kufanya kazi kwa asilimia 100% Aiseee .

Mtu wengi ukiongelea habari za bwana Yesu taswira inayokuja kichwani mwake ni ya yule bwana

Nikapata wasaa nitaleta habari yake yule bwana
Ukileta unitag
 
Kavuka mipaka vipi Sasa !?? Wewe ungemjua huyo yesu bila hao Wazungu ,?? Sasa Wazungu hao hao walio kufundisha kuhusu yesu wameamua kuigiza maisha ya yesu Kwa jinsia ya kike Ajabu unapanick !? Ina maana wewe umeshakuwa unamjua yesu Sana kuliko hao Wazungu walio kufundisha huyo yesu ?? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].

Kweli miafrica ndio tulivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Waafrika ni watu wajinga sana. Ndio, narudia tena, Waafrika ni watu wajinga sana. Kwa mfano, wao ndio wamekwazwa sana na hii film kuliko hao wazungu wenye Yesu wao. When are you going to woke up Africans? Why are you so stupid like this?

Waafrika, tafadhali sema baadhi ya wafrika!
Wewe na ukoo wako na watoto wako na mkeo ndio matahira pasee tena wajinga kama wewe ulivyo kibuyu[emoji35]
Bipolar psychopath walahi!
 
Back
Top Bottom