PARIS JACKSON: Mtoto wa MICHAEL JACKSON kwenye FILAMU yake ya YESU wa Kike

PARIS JACKSON: Mtoto wa MICHAEL JACKSON kwenye FILAMU yake ya YESU wa Kike

Aiseee ,taarifa ilisema makundi, ya kikristo huko huko USA ndiyo yaliyopinga sasa waafrika wametoka wapi???

Pia wakristo wana haki ya Kusimama kidete kutetea Maudhui ya Wanachokiamini
Labda hujanielewa, hiyo issue ya kikristo iko Afrika tu
 
Ukifuatilia movie zilizochezwa hapo nyuma, zimewaaminisha wengi kua mtu yule aliyecheza movie zile ndie yesu christo pamoja na matendo yale wanayoyaona...
Hadi imefkia hatua picha za bwana yule zimewekwa majumbani na hata makanisani, na watu wengi, watoto kwa watu wazima wanaamini kua yule ndio yesu mweyewe..

Kama watu wameweza kuamini filamu hio iliyopita kwa kiasi kile, basi tutegemee UPOTOSHAJI mkubwa kwa vizazi vipya vijavyo.. Maana siku hizi watoto wetu wanaangalia chochote kile kwenye TV zetu Majumbani..

"The end is Near.."
Hakunaga mwisho Dunia iko hivi ilivyo na itabaki kuwa hivi ilivyo kilichopo Ni kwamba always watu wenye power Duniani wenye nguvu ya kiutawala ,kisiasa , kiuchumi, Technology na Nguvu ya ushawishi ndio huwa wanaamua Namna ambavyo Dunia inapaswa kuendeshwa kwaajili ya maslahi Yao wenyewe na Mara nyingi wanapoleta mifumo hiyo huwa mifumo hiyo inabadilika na kuzoeleka kwa watu na kuwa Kama sehemu ya Imani Binaadamu huanza kusahau kuwa vitu hivyo Ni vya kutungwa tu na Binaadamu wenzao wanasahau kwa sababu Ni mapokeo ambayo yatakuwa Yana rithishwa kwa vizazi baada ya vizazi Ni kama mfano Leo hi tunavyo Amini katika mfumo wa calendar ya Gregorian Au tunavyo Amini katika Mfumo wa masaa ' Kiasi kwamba Unaweza jikuta unasahau kabisa kuwa hiyo ni mifumo na imewekwa na watu
 
Watu wakimdhihaki Mungu usipaniki acha Mungu ajitetee mwenyewe.Kwani Mungu hawezi kujitetea yeye mwenyewe?Yaani Mungu amuumbe binadamu kwa mikono yake mwenyewe halafu ashindwe kumdhibiti?Mimi nashauri wacheze pia filamu inayoonyesha kuwa Yesu na Mungu ni mashoga.
Wooooiiiii [emoji3][emoji3][emoji419][emoji1732]
 
Daa Mkuu umevuka mipaka asee,
Kavuka mipaka vipi Sasa !?? Wewe ungemjua huyo yesu bila hao Wazungu ,?? Sasa Wazungu hao hao walio kufundisha kuhusu yesu wameamua kuigiza maisha ya yesu Kwa jinsia ya kike Ajabu unapanick !? Ina maana wewe umeshakuwa unamjua yesu Sana kuliko hao Wazungu walio kufundisha huyo yesu ?? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].

Kweli miafrica ndio tulivyo
 
Alianza yule wa kiatu cha shetani wameona haitoshi wanakuja na filamu kitakachoshangaza nikwamba unaweza kuta copy zote zitaisha siku moja
Aliyegundua pesa ndio ameleta yote haya
Hivyo vyote Ni myth tu , Hakun shetani Wala Nini Ni uongo mtupu
 
Hongera mkuu kwa kujua kidogo hako kahistoria

Na mimi nitakutoa katika kundi la Wajinga pale nitakapokueleza kuhusu Leornardo Leornardo Davinci, Borgia Caesar, Master Jesus(Antichrist) na huyo Deacon ......
Hadi wakina peter Heymen walipotayarisha movie katika mchuano wa watu 250+

Usjali mkuu tutatoana tu katika makundi mbalimbali taratibu kama ulivyonitoa mimi katika kundi la wapumbavu
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hakunaga mwisho Dunia iko hivi ilivyo na itabaki kuwa hivi ilivyo kilichopo Ni kwamba always watu wenye power Duniani wenye nguvu ya kiutawala ,kisiasa , kiuchumi, Technology na Nguvu ya ushawishi ndio huwa wanaamua Namna ambavyo Dunia inapaswa kuendeshwa kwaajili ya maslahi Yao wenyewe na Mara nyingi wanapoleta mifumo hiyo huwa mifumo hiyo inabadilika na kuzoeleka kwa watu na kuwa Kama sehemu ya Imani Binaadamu huanza kusahau kuwa vitu hivyo Ni vya kutungwa tu na Binaadamu wenzao wanasahau kwa sababu Ni mapokeo ambayo yatakuwa Yana rithishwa kwa vizazi baada ya vizazi Ni kama mfano Leo hi tunavyo Amini katika mfumo wa calendar ya Gregorian Au tunavyo Amini katika Mfumo wa masaa ' Kiasi kwamba Unaweza jikuta unasahau kabisa kuwa hiyo ni mifumo na imewekwa na watu
Aisee sawa mkuu
 
Huyu mtoto sio bao la Michel Jackson. Ni mbegu ya jamaa fulani mwenye asili ya Israel ambae alipandikiza mbegu na mke wa Michael Jackson.

Pia yule mtoto mwingine wa kiume.... Michael hakutaka kupata mtoto wake biological kwasababu zake binafsi. Nadhani ni kutokana na abuse aliyopitia katika malezi ya kibabe ya baba yake jambo lililomfanya akachukia sana nafsi yake ya utoto.

Huyu sio mtoto wake kama inavyosadikika.... Ukifuatilia taarifa zake kwa ndani utajua. Ndio maana haka kabinti nako kanapitia msongo wa mawazo na hakapo sawa.
 
Ukitaka kuwaelewa hawa wazungu ni kiasi gani wanafedhehesha dini za watu,jaribu kutafuta series moja inaitwa Preacher humo ndo utaona aibu mwenyewe,unakaa unajiuliza hivi huyu muandika scripts alikua anawaza nini na ni nini ujumbe wake humu.
 
Back
Top Bottom