Sikudokoa Mboga yako
JF-Expert Member
- Mar 13, 2022
- 462
- 947
Where are you dude ?.Neimar anaigharimu timu,,,,analazimisha chenga ziczokuwa na manufaa katika timu hadi ananyang'anywa.
Messi angetimkia man city ingemfaa zaidi, maana atakutana na watu wazima,, sasa huko psg ni wakubwa lakini bado utoto unawasumbua😁
Jana nimechekinmakosa mengi walifanya, goli la pili limesababishwa na uzembe wa kipa, na goli la tatu limesababishwa na uzembe wa maquinos.
Even Messi's fans decide to run him.
Na hii timu INA mashabiki hehehe
Hakika.Wengine tunaishabikia sababu ya mchezaji bora kuwahi kutokea(MESSI)
Bayern uwa hamuonei Psg kirahis game uwa ni 50/50Hatimae mmepanda mtumbwi wa vibwengo, yaani mmemvagaa Jamali Musiala kiboko ya akina Ramos na Kimpembe.
RIP Psg maana habari za Bayern kamuulize Barca
Ndugu wazee, wakati tukirejea kwenye msimu wa mpira baada ya World Cup naomba mnisaidie link ya kutazama mpira online. Ile link ya Domain Seized by Law Enforcement tuliyokuwa tunatazamia mpira imefungiwa rasmi na magaidi. Natanguliza shukrani.
View attachment 2451443
Asante sana mkuu lakini mm huwa natumia kompiuta; app inafaa zaidi kwenye simu.Download apps inaitwa 'live football' naangalia Sana kupitia hii app
Ame-renew lini?, maana kwa kumbukumbu zangu hiyo ya kuishia 2025 alisaini tangu may 2022Mbappe hatakuja kuchukua trophy yyt ya maana,naona kagoma tena los blancos karenew mkataba na PSG had 2025
Ana world cup tayari ...na mchezaji tajiri anaelipwa kuliko wote...vinamtoshaMbappe hatakuja kuchukua trophy yyt ya maana,naona kagoma tena los blancos karenew mkataba na PSG had 2025
Havitoshi kama anataka kufika mbali. Hata yeye analijua hiloAna world cup tayari ...na mchezaji tajiri anaelipwa kuliko wote...vinamtosha
Kama ayo ndo yatakua malengo yake bas atakua mwehu sana.Ana world cup tayari ...na mchezaji tajiri anaelipwa kuliko wote...vinamtosha
Kama ayo ndo yatakua malengo yake bas atakua mwehu sana.
Kwnz psg wamemdanganya vya kutosha kwa umr wake angetakiwa sik nyng awe tyr Madrid psg wenzake wanaenda kula Passion yy ndo anatk kukaa hapo bila sbb za msing.