Paris Saint-Germain Special Thread

Paris Saint-Germain Special Thread

Neimar anaigharimu timu,,,,analazimisha chenga ziczokuwa na manufaa katika timu hadi ananyang'anywa.

Messi angetimkia man city ingemfaa zaidi, maana atakutana na watu wazima,, sasa huko psg ni wakubwa lakini bado utoto unawasumbua😁

Jana nimechekinmakosa mengi walifanya, goli la pili limesababishwa na uzembe wa kipa, na goli la tatu limesababishwa na uzembe wa maquinos.
Where are you dude ?.

Your thread is rotting here.
 
Hatimae mmepanda mtumbwi wa vibwengo, yaani mmemvagaa Jamali Musiala kiboko ya akina Ramos na Kimpembe.

RIP Psg maana habari za Bayern kamuulize Barca
 
Hatimae mmepanda mtumbwi wa vibwengo, yaani mmemvagaa Jamali Musiala kiboko ya akina Ramos na Kimpembe.

RIP Psg maana habari za Bayern kamuulize Barca
Bayern uwa hamuonei Psg kirahis game uwa ni 50/50
 
Ndugu wazee, wakati tukirejea kwenye msimu wa mpira baada ya World Cup naomba mnisaidie link ya kutazama mpira online. Ile link ya Domain Seized by Law Enforcement tuliyokuwa tunatazamia mpira imefungiwa rasmi na magaidi. Natanguliza shukrani.
1671425979286.png
 
Mbappe hatakuja kuchukua trophy yyt ya maana,naona kagoma tena los blancos karenew mkataba na PSG had 2025
 
Mbappe hatakuja kuchukua trophy yyt ya maana,naona kagoma tena los blancos karenew mkataba na PSG had 2025
Ame-renew lini?, maana kwa kumbukumbu zangu hiyo ya kuishia 2025 alisaini tangu may 2022
 
Ana world cup tayari ...na mchezaji tajiri anaelipwa kuliko wote...vinamtosha
Kama ayo ndo yatakua malengo yake bas atakua mwehu sana.

Kwnz psg wamemdanganya vya kutosha kwa umr wake angetakiwa sik nyng awe tyr Madrid psg wenzake wanaenda kula Passion yy ndo anatk kukaa hapo bila sbb za msing.
 
Unasemaje wamemdanganya wakati ni timu ya kwao? Yeye kazaliwa Paris...na bado analipwa hela nyingi kuliko wote
 
Back
Top Bottom