Paroko kizimbani kwa tuhuma za wizi

Hilo nalo neno aisee. Tusubiri na kuwa wapole kwanza.
 
Hakika uislam ni neema kubwa kwa wanaadamu, huwezi kukuta upuuzi huu wa kuwaibia watu...

wacha kujidanganya !. na wale waliomuua mzungu wa tembo. nenda ostabey polisi ukute majambazi ni maostazi kabisa .kuna mmoja alikuwa anaswalisha tegeta sikosei mtu wa kazi miaka ya jk
 
Sio kweli mkuu. Mbona kwenye ku-withdraw pesa kutoka katika A/C ni lazima kuwe na signatures mbili A&B ikiambatanishwa na Muhtasari ulioridhia?
 
Linani hilo? Mkuu; utapungukiwa na nini kama ukimtaja mtu kwa heshima yake anayostahili hata kama amefanya kosa?.
 
Hakika uislam ni neema kubwa kwa wanaadamu, huwezi kukuta upuuzi huu wa kuwaibia watu...
Acha kujidhalilisha mbele ya hadhara na kutaka kuwafanya Waislam wote kuonekana wana akili mgando kama hii ya kwako!

Vipi na wale wanaokamatwa kwa ujambazi, ugaidi,madawa ya kulevya, ukahaba, ujangili, uhujumu uchumi, ubakaji, ulawiti, nk!!!

Siku zote jinai haiangalii dini, dhehebu, kabila, sura, rangi ya mtu, nk. Jinai inaweza kufanywa na mtu yeyote yule, akiwemo huyo Padre.
 
Wadau ifike kipindi tuwe objective katika mijadala

Sijui kwanini huwa tunapenda Sana kuingia kwenye Dini badala ya kujadili mada husika

Ebu tubadilike wakuu
 
Pesa yooooote ya sadaka haimtoshi? Wao wanakula kilaini sana, tena kwenye kivuli, anaiba tena?
 
hakika hofu ya Mungu imepotea.
tunahubiri tusicho kifuata, jambo la hatari sana.
 
Hakika uislam ni neema kubwa kwa wanaadamu, huwezi kukuta upuuzi huu wa kuwaibia watu...
Wewe akili huna!!!

Mbele ya pesa huo uislam wako utauona kituko tu na utafanya na wapo wanafanya zaidi ya haya.mtu kuwa na dini haimaanishi hana tamaa binadamu umeumbiwa tamaa ni wewe kujipa limit na unachoweza kufanya wewe usimkadirie mwenzako hata baba yako anaweza kufanya alichofanya huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ