OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
Hilo nalo neno aisee. Tusubiri na kuwa wapole kwanza.Acheni kuhukumu huu ni upande mmoja wa Taarifa umeshamsikia Yeye akitoa hoja zake?
Mnakumbuka Yule shekhe wa Arusha aliposingiziwa kuwa amebaka watoto wengi kwenye madrasa yake watu tulimtukana sana
Baadae ikajajulikana ni watu walikuwa wanamsingizia Tena walimu washule ya Msingi?
Kuna Padri mmoja Moshi kibosho alipata kesi ya kubaka na ikifika mahakamani kumbe tuu Padri wa watu wa Rombo baadhi ya watu walimtupia kashfa kwakuwa hawampendi
Tuweni makini sana kuwahukumu watu ni kama vile wewe mtaani au ofisini watu wanapokutupia maneno machafu ambayo wala hauna