Part 2. Unabii kuelekea October: CCM itashinda kwa 85% , Makonda atakuwa miongoni mwa viongozi wakuu

Itashinda kwa kushindana na nani?
NO REFORMS NO ELECTION
 
Viongozi wa upinzani mmewafungulia kesi fake, mnazuia mikutano, mnateka na kuua wapinzani, mnahonga maskini wasiojitambua kanga na kofia , police wapo tayari kuiba na kubadilisha matokeo, halafu mnaita uchaguzi, hamna akili nyie wapumbavu watupu
 
Waambie wenzio waogopa REFORMS kwamba this time mtajichagua wenyewe, hakuna mwenye akili timamu atapanga foleni juani kuchagua kitu ambacho kishajichagua.

Ni muda wenu wa kugawana vyeo vya nchi uhuru ni wenu.
 
Hizo asilimia 85 kwa ccm zinatoka wapi?

Kwenye uchaguzi huru ,ccm inapata asilimia 15 tu,
 
Hakuna uchaguzi mwaka huu.
Mama ataendelea mpk mwakani.
 
Umeshahisi fisiemu watakavyoiba kura? Huu uhuni aliuanza yule mpuuzi yule hakuwa na chembe ya haya usoni! Ndio aliharibu demokrasia nchi hii, ila Mungu hachezewi asilani!
 

..ili Mama aonekana anaweza inalazimisha nguvu kubwa itumike dhidi ya wapinzani, na fedha nyingi zaidi zitumike kwenye kampeni. Mahali tulipofikia Mama habebeki na amekuwa tishio kwa amani yetu.
 
Tukiwauliza mmeolewa mnaanza kukasirika .
 
Kwani kuna namna ambavyo hii nchi tumemkosea sana Mungu na anatuoyesha ukuu wake au kitu gani?

..hatujamkosea MUNGU.

..Ccm ndio wametukosea Watanzania.

..wanaotutesa ni Ccm, tuache kumlaumu na kumkufuru MUNGU.
 
Utapeli tuu ,Makonda hawezi kuwa high table labda kama unamaanisha awe Waziri wa kubebwa.
 
Kwani kuna namna ambavyo hii nchi tumemkosea sana Mungu na anatuoyesha ukuu wake au kitu gani?
Si ndio hapo? Kama mna hamu ya kupotea,kupiga marufuku mnachoita Demokrasia na watu wote kuzimwa basi huyu Jamaa ashike Dola Mtajua hamjui.

Ikitokea hili basi mtakuja kumlilia Samia kama Watoto yatima waliopoeza wazazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…