ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Chadomo punguzeni matumaini ambayo hayapo.Waambie wenzio waogopa REFORMS kwamba this time mtajichagua wenyewe, hakuna mwenye akili timamu atapanga foleni juani kuchagua kitu ambacho kishajichagua.
Ni muda wenu wa kugawana vyeo vya nchi uhuru ni wenu.
Hoja yako ni hiyo paragraph ya mwisho kuhusu ushindi wa ccm. Hiyo 85% hujabashiri bali ndio kinajachojadiliwa na kupangwa kwenye vikao vya juu vya ccm.Kwahiyo kuhusu uchaguzi ndio hivyo. Kama kura zitakuwa za halali au magumashi Mimi sijui. What I know ni 85% na Makonda kuwa high table.
Bahati mbaya niliona Makonda akiwa na roho ya kisasi .
Shalom.
Upcoming and sharp prophet of the town.
Nakuomba PMHabari!
Kuna nyuzi kadhaa za kisiasa huenda nimeandika humu ndani.
Moja ambayo niliitoa mwaka jana ndiyo nilisema unabii maana niliongea kitu ambacho Roho wa Bwana alisema, na nyuzi zingine zilikuwa personal view.
Hii ya pili naandika UNABII.
Thread 'Unabii kuelekea uchaguzi mkuu 2025'
Soma kwanza hii nyuzi then uje uendelee na hii.
Unabii kuelekea uchaguzi mkuu 2025
It's true this message 100% I have got from the the throne of God.
Binafsi kama binadamu Mimi ni mdau wa mabadiliko, nampenda Lissu zaidi ya Samia. Lissu yuko smart zaidi.
Mara ya kwanza naomba tsunami iwapate waliomweka Lissu ndani jibu la Mungu ni kwamba Lissu ameandaliwa for the future. Nilikuwa sijaelewa vizuri, baada ya muda wiki mbili zilizopita kama sijakosea nikaona jambo.
CCM ikiwa na 85%, huku Makonda kijana ambaye binafsi simpendi kwa record yake ya mambo ya hovyo akiwa high table.
Hapa ndipo nikajua kuwa mawazo ya Mungu si ya binadamu. Lissu for the future.
2014 around November nilitabiri kuwa 2015 Rais atakuwa Magufuli. Nilitabiri nikiwa mgodini Bulyanhulu.
Kwahiyo kuhusu uchaguzi ndio hivyo. Kama kura zitakuwa za halali au magumashi Mimi sijui. What I know ni 85% na Makonda kuwa high table.
Bahati mbaya niliona Makonda akiwa na roho ya kisasi .
Shalom.
Upcoming and sharp prophet of the town.
Bullshit, how can a sane people dare to call it 'Unabii'Habari!

Huu nao n unabiii..?Habari!

NO REFORMS NO ELECTION!...mtapiga kura wenyewe hamna mtu anayejitambua atapiga kura kwa katiba na tume hiiHabari!