Part II: Bado safari yangu ya kusaka utajiri wa nguvu za giza inaendelea

Status
Not open for further replies.
Tunao ishi katika ulimwengu wa pesa hzo tuna jua karaha yake na raha Yake,,karaha Yake unapo daiwa mrejesho na muda wa kufanya mambo ukiwa umefika si wote watakupeleka au watakuelekeza wengne wanakupima iman Kwanza

Kila Jambo Lina subira ,bila uvumilivu kuwa nao huwez kufanikiwa hata kidogo nakushaur anzia na kidogo Kwanza

Huwez kufanikiwa Kama mwili mchafu lazima tuukogeshe Kwanza ndio harakati zingne zianze

Mafanikio hayo yanahtaji uvumilivu kuna mitihani mingi Sana ndani yake

Kumbuka unaingia katika maagano mazito Sana ndugu ila karibu Sana Tena karibu Sana

Nakushaur chukua ndere tu ya mvuto na kupendwa na watu na kila neno lako lisipingwe kuwa na kabiashara kadogo ndani ya miez sita utaona habar yake utajishangaaa
 
Tusipangiane! Wewe kua expert sana ama kutokua expert hainisaidii sababu huwez nisaidia nachohitaji, Wewe baki na ndere yako, na mimi nibaki na mengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hv vitu havihiitaji hasira hata sis tulishauriwa Sana na tukaelewa maana ya ushauri Ni Nini ila kila kheri Sana katika mapambano yako ya kutafuta shilingi ukifanikiwa utaleta mrejesho

Ila kwa muonekano Bado hujakidhi vigezo na kiukweli hutokaa kufanikiwa kwa njia unayo itaka

Mtu hawez kukupeleka kunako mpa pesa bila utaratibu maalumu
 
Mbona hasira nyingi kijana Sina shida ya connection,, mpambanaji hatafutiwi connection Aiseeee nimetafuta mwenyewe kwahyo Nina aamua kukuelekeza au kuto kuelekeza inategemea na akil ya mtu nae taka kumpa connection iko vipi na Sina shida ya kujibrand humu aiseee
 
Vibao mitaani viko vingi sana na vina namba za simu,
 
taarifaa mbaya kwako ni HAUTAFANIKIWA
 
Dada pesa ,magari na mali ni vitu vya mpito ila hakikisha vinapitia kwako
 
huku kusini kuna mwandoromi amefaliki ila mikoba amemwachia mtoto wake.
 
Ukipata twende wote mkuu nPm tuuh
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…