Kwenye hii case, fedheha lazima imhusu DPP na mazafakas wenzake. Nyuso zao hazinaga tu aibu!Kama una makosa basi uhukumiwe kwa kosa lako. Kusema kukinukisha ni uhaini?
Hata hata ule uhaini wa wale wanajeshi waliompinga hayati Nyerere hawakupindua kwa maneno kama haya. Walipanga kutumia vifaru na kuiteka Rtd
View attachment 3654052