Pascal Mayala leo ameongea jambo la msingi. Watanzania wakatae haki za kuhurumiwa kama Tundu Lissu alivyokataa

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Kama una makosa basi uhukumiwe kwa kosa lako. Kusema kukinukisha ni uhaini?

Hata hata ule uhaini wa wale wanajeshi waliompinga hayati Nyerere hawakupindua kwa maneno kama haya. Walipanga kutumia vifaru na kuiteka Rtd

Your browser is not able to display this video.
 
Kama una makosa basi uhukumiwe kwa kosa lako. Kusema kukinukisha ni uhaini?

Hata hata ule uhaini wa wale wanajeshi waliompinga hayati Nyerere hawakupindua kwa maneno kama haya. Walipanga kutumia vifaru na kuiteka Rtd

View attachment 3654052
Kwenye hii case, fedheha lazima imhusu DPP na mazafakas wenzake. Nyuso zao hazinaga tu aibu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…