Pascal Mayalla ahojiwa na kamati ya Bunge

Ona yalivyokaa kumbe mapigaji tu
 
Nimeangalia ‘swali lako’ & avatar yako;kweli mnaendana...unaachaje kumfahamu Pascal mayalla humu jukwaani,au wewe nawe ni ‘kibaraka’ wa kina nanilii!
Hata nami namshangaa huyu ndugu...Paskali wa JF hamujuwi? Yule ambaye walisema kwao jina hilo ni NJAA, badala ya kujibu swali (lenye mfumo wa KITI MOTO).
 
Wapinzani watataabika bali maendeleo hayatapatikana Mungu yupo na amesikia kilio chenu!
 
Eti kanuni za bunge hazitumiki kwa wasiokua wabunge; watu kwa upotoshaji hawajambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…