Pascal Mayalla ahojiwa na kamati ya Bunge

Pascal Mayalla ahojiwa na kamati ya Bunge

Mkuu MIXOLOGIST, asante ila hongera za kweli utaniletea baada ya lile jambo letu kufanikiwa!.
P
Mkuu, mimi nina imsni utavuka.

Kama kumbukumbu zangu ziko vizuri, Mzee Mayalla pia aliwahi pata misukosuko na serikali uko Kigoto Mwanza wakati akiwa kazini.Nadhani mkuu Paskali atatukumbusha na kuunganisha ktk history yake.
Mkuu MADOTTO, ni kweli kuna mapito mengine watu tunapitia tukidhani ni yetu kumbe ni tumebebshwa mizigo ya matendo ya wazazi wetu waliotangulia mbele ya haki kabla ya kumaliza kulipa madeni yao kwenye dunia hii. Yale yaliyotokea Kigoto niliyaeleza vizuri kwenye hizi 3 -series hapa
1. Wakili Pasco Mayalla - A True Story of My Life: Nilitamani kuwa Wakili sababu ya Wakili Murtaza Lakha, sasa ni Wakili. Je, nitakuwa kama Lakha? Part 1
2. Wakili Pasco Mayalla -A True Story of My Life: Nilitamani kuwa Wakili sababu ya Wakili Murtaza Lakha, sasa ni Wakili. Je, nitakuwa kama Lakha? Part II
3. Wakili Pasco-A True Story of My Life: Nilitamani kuwa Wakili sababu ya Wakili Murtaza Lakha, sasa ni Wakili. Je, nitakuwa kama Lakha? Part III-Final
P
 
Kuandika habari za hovyo ndiyo mapito ya kukuandaa kuwa kiongozi Bora? Au sijaelewa?
Mkuu John4440, hicho cha ovyo nilichokiandika ulibahatika kukisoma?. Jee kilikuwa ni cha hovyo kweli?. Kama kilikuwa ni cha hovyo kweli jee unajua matokeo ya mahojiano haya?. Huyo mwandishi mwandika cha hovyo, alifanywa nini?.
P
 
Mkuu, mimi nina imsni utavuka.

Serikali itapita ila nchi itabaki. Je wewe uko active? umekua activated au ume activate wenzako?

MAKINIKA CHUKUA HATUA, SHIRIKI KWENYE SIASA ULETE MEANINGFUL CONTRIBUTION KWENYE SAFARI YA MAENDELEO YA NCHI YAKO.

BE INSPIRED
Amen Amen Amen!,
Nimeguswa very inspirational!
Thanks
P.
 
Rais, Spika na watanzania wengi wanamfaham Pascal Mayalla , wanajua yeye ni nani, haitojalisha wala kupunguza kitu kama wewe haumjui.
Mkuu The Monk, japo ni kweli kujulikana na wakubwa kuna saidia kwenye mambo fulani makubwa makubwa, lakini mambo yanayo matters sana kwenye life sio mambo makubwa, ni mambo madogo madogo tuu tena yanapatikana for free, starting with the air we breath. Hivyo hawa watu wa kawaida ni muhimu sana!. Hebu fuatilia kisa changu na huyu dada enzi hizo mimi ndio mimi na yeye was nobody A shock of my life, furaha yageuka shubiri. Be good to people on your way up, you might meet them on your way down, mwenzenu leo yamenikuta!

Unachosema ni kweli kaka, shida ni pale mtu anataka aukatae uhalisia na kujifanyia haelewi jambo Kwa sababu zake binafsi. Haujawahi ona watu wanamuongelea mtu flani anakuja mwingine anauliza huyo flani ndio nani nchi hii?

Tukirudi kwenye tukio la huyo dada, kama ni muungwana, ameshakua mtu mzima na bila shaka HEKIMA na busara xitatumikavkuonyesha ukomavu.

Atakufanyia wema kuonyesha Yuko matured. Usihofu sana
 
Mkuu tulijaliribu kukuuliza ulivyohojiwa huko hatukupata ushirikiano toka kwako na baadae ukaachana kabisa na mambo yako ya kuhoji au kutoa habari za kiuchunguzi..
Mkuu Isanga family, huu ndio uthibitisho wa maturity na kukua kwenyewe, unakuwa na kitu kinachoitwa "kabah", hausemi kila unachukutana nacho!, vingine unahifadhi!.
P
 
Tukirudi kwenye tukio la huyo dada, kama ni muungwana, ameshakua mtu mzima na bila shaka HEKIMA na busara xitatumikavkuonyesha ukomavu.

Atakufanyia wema kuonyesha Yuko matured. Usihofu sana
Mkuu The Monk, kiukweli kabisa, hata alivyonifuata, you could read her eyes, alikuja with motherly love kuwa huyu jamaa alikuwa mtoto at foolish age, hakujua atendalo!, hivyo hata ikitokea mimi nikapita, itakuwa ni huyu mama!.
Let's keep our fingers crossed
halafu japo mwanzo nilitaka to take advantage, kiukweli kabisa sasa ... naomba nisiendelee!.
P
 
Back
Top Bottom