Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu MENGELENI KWETU , mimi ni muumini, Mungu ni mwema, ukimuamini na kumtemea yeye, hatakuacha!, hivyo kwenye hili, ni kweli Mungu alikuwa na mimi na hata kwenye hili la sasa, naamini Mungu yuko na mimi na hata niacha!.Mkuu Pascal Mayalla naamini kabisa MUNGU alikuwa na wewe wakati wa hicho kikao.
Mkuu Msengapavi , thanks, I'm a very strong man!. My strength comes from HIM!.Stay strong, man!
Mkuu LIMBOMAMBOMA, its about time, proceeding yote hii iko recorded kwenye Hansard .ingependeza sana kama pasco angeweka humu chote alichohojiwa na bunge na majibu aliyotoa.
Mkuu Isanga family , haukupoteza muda kwasababu matokeo ya mahojiano hayo, yalikuja kulisaidia taifa.Kamati inapoteza muda kumhoji Pascal
Mama Sabri, Mama Sabrina, laiti ungalijua...Wanajuana paschal kwanza yupo karibu sana na viongozi
Mkuu MIXOLOGIST, asante ila hongera za kweli utaniletea baada ya lile jambo letu kufanikiwa!.Hongera sana chief
Mkuu, mimi nina imsni utavuka.Mkuu MIXOLOGIST, asante ila hongera za kweli utaniletea baada ya lile jambo letu kufanikiwa!.
P
Mkuu MADOTTO, ni kweli kuna mapito mengine watu tunapitia tukidhani ni yetu kumbe ni tumebebshwa mizigo ya matendo ya wazazi wetu waliotangulia mbele ya haki kabla ya kumaliza kulipa madeni yao kwenye dunia hii. Yale yaliyotokea Kigoto niliyaeleza vizuri kwenye hizi 3 -series hapaKama kumbukumbu zangu ziko vizuri, Mzee Mayalla pia aliwahi pata misukosuko na serikali uko Kigoto Mwanza wakati akiwa kazini.Nadhani mkuu Paskali atatukumbusha na kuunganisha ktk history yake.
Kuandika habari za hovyo ndiyo mapito ya kukuandaa kuwa kiongozi Bora? Au sijaelewa?Mkuu MADOTTO, asante kunianzishia thread. Mtu aliyepitia mapito kama haya, akaja ku emerge victoriously akitokea akapata uongozi, atakuwa ni kiongozi mzuri sana, maana amepikiwa kwenye tanuru la moto!.
P
Mkuu John4440, hicho cha ovyo nilichokiandika ulibahatika kukisoma?. Jee kilikuwa ni cha hovyo kweli?. Kama kilikuwa ni cha hovyo kweli jee unajua matokeo ya mahojiano haya?. Huyo mwandishi mwandika cha hovyo, alifanywa nini?.Kuandika habari za hovyo ndiyo mapito ya kukuandaa kuwa kiongozi Bora? Au sijaelewa?
Mkuu, mimi nina imsni utavuka.
Be active, activate and activated
Wasalaam wana JF Miaka 50 baada ya uhuru bado nchi yetu ina struggle, mipango ya maendeleo na utekelezaji wake ni reflection ya pwagu na pwaguzi. Nafasi zote za kazi zina matakwa ya kielimu, ujuzi na uzoefu isipokua siasa yaani uwakilishi wa wananchi bungeni, ujue kusoma na kuandika tu...www.jamiiforums.com
Amen Amen Amen!,Serikali itapita ila nchi itabaki. Je wewe uko active? umekua activated au ume activate wenzako?
MAKINIKA CHUKUA HATUA, SHIRIKI KWENYE SIASA ULETE MEANINGFUL CONTRIBUTION KWENYE SAFARI YA MAENDELEO YA NCHI YAKO.
BE INSPIRED
Mkuu The Monk, japo ni kweli kujulikana na wakubwa kuna saidia kwenye mambo fulani makubwa makubwa, lakini mambo yanayo matters sana kwenye life sio mambo makubwa, ni mambo madogo madogo tuu tena yanapatikana for free, starting with the air we breath. Hivyo hawa watu wa kawaida ni muhimu sana!. Hebu fuatilia kisa changu na huyu dada enzi hizo mimi ndio mimi na yeye was nobody A shock of my life, furaha yageuka shubiri. Be good to people on your way up, you might meet them on your way down, mwenzenu leo yamenikuta!Rais, Spika na watanzania wengi wanamfaham Pascal Mayalla , wanajua yeye ni nani, haitojalisha wala kupunguza kitu kama wewe haumjui.
Mkuu tulijaliribu kukuuliza ulivyohojiwa huko hatukupata ushirikiano toka kwako na baadae ukaachana kabisa na mambo yako ya kuhoji au kutoa habari za kiuchunguzi..Mkuu Isanga family , haukupoteza muda kwasababu matokeo ya mahojiano hayo, yalikuja kulisaidia taifa.
P
Mkuu The Monk, japo ni kweli kujulikana na wakubwa kuna saidia kwenye mambo fulani makubwa makubwa, lakini mambo yanayo matters sana kwenye life sio mambo makubwa, ni mambo madogo madogo tuu tena yanapatikana for free, starting with the air we breath. Hivyo hawa watu wa kawaida ni muhimu sana!. Hebu fuatilia kisa changu na huyu dada enzi hizo mimi ndio mimi na yeye was nobody A shock of my life, furaha yageuka shubiri. Be good to people on your way up, you might meet them on your way down, mwenzenu leo yamenikuta!
P
Mkuu Isanga family, huu ndio uthibitisho wa maturity na kukua kwenyewe, unakuwa na kitu kinachoitwa "kabah", hausemi kila unachukutana nacho!, vingine unahifadhi!.Mkuu tulijaliribu kukuuliza ulivyohojiwa huko hatukupata ushirikiano toka kwako na baadae ukaachana kabisa na mambo yako ya kuhoji au kutoa habari za kiuchunguzi..
Mkuu The Monk, kiukweli kabisa, hata alivyonifuata, you could read her eyes, alikuja with motherly love kuwa huyu jamaa alikuwa mtoto at foolish age, hakujua atendalo!, hivyo hata ikitokea mimi nikapita, itakuwa ni huyu mama!.Tukirudi kwenye tukio la huyo dada, kama ni muungwana, ameshakua mtu mzima na bila shaka HEKIMA na busara xitatumikavkuonyesha ukomavu.
Atakufanyia wema kuonyesha Yuko matured. Usihofu sana
Sio kweli Mkuu penye uonezi unatakiwa useme ili iwe fundisho kwa wengine kukaa kimya sio sahihi..Mkuu Isanga family, huu ndio uthibitisho wa maturity na kukua kwenyewe, unakuwa na kitu kinachoitwa "kabah", hausemi kila unachukutana nacho!, vingine unahifadhi!.
P
Kunyamazia persecutions is the best medicine!, hata Yesu pale msalabani, hakupiga kelele!.Sio kweli Mkuu penye uonezi unatakiwa useme ili iwe fundisho kwa wengine kukaa kimya sio sahihi..