Pascal Mayalla ahojiwa na kamati ya Bunge

Hivi adhabu yake inaweza kuwa Nini mwishoni? Assuming wamemkuta na kosa wanaweza kumfanya Nini?
 
Na hapo ndio jibu LA alichoandika Pasco kuuliza "jee Bunge linajipendekeza kwa serikali?" Linakuwa ndio kwa vile Spika alishindwa kujibu palepale kuwa hatufanyi hivyo.
 
Ukiangalia Lugha ya Picha ni kama vile Jamaa anawapiga shule fulani hivi hao wa Mbele yake,
Au Boss Fulani hivi yuko Kikaoni anaendesha kikao
 
Nyumbu bana. Sasa hapo Pascal kaonewa Nini? Akitoa maelezo ya kuridhia anakuwa huru. Akishindwa anaadhibiwa. Hapo amepewa haki yake ya kisheria ya kusikilizwa.

Mambo ya wapinzani Na Pascal Na Bunge yanahusiana vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…