Pascal Mayalla ahojiwa na kamati ya Bunge

Pascal Mayalla ahojiwa na kamati ya Bunge

Matumizi mabaya ya kodi za Watanzania.Tunaweka kumbukumbu kwa ujinga huu.Shetani anazidi wapa kiburi zaidi wasione .
 
Pascal huwa wkt mwengine ninamwelewa na kutomwelewa lkn kwa hoja yake hii aliyoiandika kwenye Gazeti, ninampatia hongera sana. Kaka, usitishwe na upepo wa msimu, komaa na utunze hadhi na taaluma yako ya uana habari ktk jamii! Hao wengine wote wanaojifanya kukutisha kwa mahojiano kwetu ssi tunaona km ni maigizo tu, welevu tulishajua kitambo kupwaya kwa chombo hicho! Kwa maoni yangu, Bunge hilo lifutwe tu halina kazi yoyote ya maana zaidi ya kutapanya kodi ya wananchi. Ni Bunge lenye sura km lile la katiba mpya ambalo lilikula pesa za bure!
 
Hv baada ya kuhojiwa hatua gani zinaweza chukuliwa dhidi yake, ikiwa atapatikana anahatia?

Maana wabunge wakikutwa na hatia huwa tunasikia wamefungiwa kuhudhuria vikao kadhaa???
 
Paskali, umekunywa maji yao? Natumai ishu imekwenda vizuri. Labda wakubambikizie kauli, lakini ULIKUWA sawa! Twakutakia heri..
 
Back
Top Bottom