Pascal Mayalla ahojiwa na kamati ya Bunge

Pascal Mayalla ahojiwa na kamati ya Bunge

Ukiangalia Lugha ya Picha ni kama vile Jamaa anawapiga shule fulani hivi hao wa Mbele yake,
Au Boss Fulani hivi yuko Kikaoni anaendesha kikao
Ha ha ha! Ila kama Shonza naye ni mjumbe kwenye hiyo kamati basi Pasco kwisha habari yake, huyu ngosha wetu akiona rangi ya chungwa point zina potea kichwani.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Pascal Mayalla Kwanza nikupe pole, pili nikuombe uje huku JF ufungue uzi ili na sisi tukuhoji kilichotokea, sasa naamini umeilewa vizuri hii Serikali nakushauri simamia kweli daima
Ukishamuhoji yeye atafaidika nini? Na wewe au nyinyi ni nani mpaka jamaa apoteze muda wake umuhoji?
Sidhani kama anaweza kuwa mjinga wa kukubali ombi lako!!
 

Mwandishi wa kujitegemea, Ndg. Pascal Mayala (katikati) akihojiwa na Kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kwa kosa la kuandika habari yenye maudhui ya kudharau Bunge kwenye safu yake ya gazeti la Rai Mwema

Amefika hapo ikiwa ni baada ya Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai kuagiza Ndg. Pascal Mayala pamoja Wahariri wa Gazeti la Raia Mwema wafikishwe mbele ya kamati hiyo.

Habari zaidi, soma=>Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge
Pole Comrade Pasco Mayalla, huko mjengoni hakuna free speech wala great thinking.
Its ndiyo mzee!
 
Mijitu yenye ndevu hadi sehemu zisiyojulikana inajambishwa na kichwa kimoja...na bado! Madaraka ya nchi yakiisha kurudi kwenye mikono ya sisi wananchi tutatengeneza utaratibu la kibunge la kijamii ambalo tutakuwa tunatoa mawazo na duku duku zetu zote ili kuwekana sawa na kukosoa pale inapobidi.. Pascal Mayalla kwa kuwa suala lako haliko kimahakama una deni la kutuambia hapa! Katika hili la kulazimishwa kupiga upatu hata pale unapoona haifai tuko na wewe!
 
Nataka kupost kitu ila cjui jomn mm mgen
Ukiingia humu kwenye vichwa vya habari, angalia juu utaona "post new thread" bonyeza hapo utaona " Thread title" andika kichwa chako cha habari. Chini kuna kisanduku humo andika mada inayohusiana na kichwa cha habari. Ukimaliza shuka chini utaona "create thread" bonyeza na baada ya hapo umeshapost kitu humu. Ukitaka kuona ulichoandika rudi nyuma alafu jifanye kama unaingia humu upya kabisa, utakuta Uzi wako kwenye orodha imeshatokea na watu wameanza kuchangia
 

Mwandishi wa kujitegemea, Ndg. Pascal Mayala (katikati) akihojiwa na Kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kwa kosa la kuandika habari yenye maudhui ya kudharau Bunge kwenye safu yake ya gazeti la Rai Mwema

Amefika hapo ikiwa ni baada ya Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai kuagiza Ndg. Pascal Mayala pamoja Wahariri wa Gazeti la Raia Mwema wafikishwe mbele ya kamati hiyo.

Habari zaidi, soma=>Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge
Katika nchi ya DEMOKRASIA huwezi KUHOJI mwandishi HURU ama GAZETI HURU.
WABUNGE na WANAOWATUMA ni vizuri wajiulize BUNGE NI sehemu ya mahakama AMA ni muhimili UNAOJITEGEMEA, Kama vile kutunga sheria na kujadili mambo muhimu ya kitaifa?

Mbona rais Trump ameambiwa mengi sana. Wabunge wa Republicans wamesemwa sana tena WAZIWAZI.

Hata juzi tu yule jamaa aliyekuwa MKUU wa FBI aliyefukuzwa kazi na Trump ametoa siri nyingi na nzito dhidi ya UNAFIKI wa TRUMP.

Na kumwita RAIS Trump kuwa ni ni MUONGO hadi kuandika KITABU kikimshutumu raisTRUMP kwa tabia zake za hovyo.
Mbona HAJAITWA bungeni ili ili AHOJIWE?
Wale wanawake aliowadhurumu kimapenzi mbona hawajaitwa BUNGENI ili WAHOJIWE?

Basi ikiwa kutoa MAONI ni kuitwa bungeni. Basi BUNGE LIONDOE kifungu cha neno UHURU wa kutoa MAONI na tubaki KUPANGIWA nini cha kuandika na nini cha KUSEMA ikiwa ni pamoja na nini CHA kuficha!!!!!!

Ili DUNIA basi ijue kuwa kuna ya Korea ya Kaskazini/Tanzania whichdoes not tolerate dissent or divergent views.
iwe nchi ya CHAMA KIMOJA.
Na kila mtu akitoa maoni kinyume na WABUNGE AFUNGWE.


Will that be the REAL democracy we have been yearning for????
Let us be serious as a nation if we want to move forward.
La sivyo nchi itarudi nyuma miaka ya 70!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Maigizo yana mwisho.!!!
 
Upuuzi mwingine wa Kiafrika,badala ya kutatua masuala nyeti,yanatoikabili nchi,mnamtishia mwandishi,eti kawadharau,who the https://jamii.app/JFUserGuide are you,!!
Seneti,ya USA,ilimuita kumuhoji bosi wa Facebook,kwa sababu ya kutaka kujua taarifa za wananchi kama zipo salama,kwenye mtandao wake,
Walikuwa wanasukumwa na usalama wa watu,hapa kwetu mijitu inawaza matumbo yao,
Sasa mkidharauliwa,inatudhuru nini sisi wananchi,
Fucking ass hole
 
Tunahangaika na vitu vya kipumbavu sana. Mbona Magufuli alipolidharau Bunge kwa kuchota hela ambazo hazikupitishwa hawa watu hawakumuita yeyote?

Kwanza ile kesi ya Zitto ya kuwadharau hawa iliishia wapi? Hope Pascal alikwenda pale kajikoki na nondo zilizoshiba haswa.
 
Mayalla wachane live,wala usiwaogope ,najua kwenye kamati wapo wanao unga mkono hoja yako.
We are waiting for feedback from you brother,though spika Alisha kuhukumu lakin prove them wrong bro.
 
Pole sana Paskali, najua kwa hoja hapo utakuwa umewashinda labda waamue kutumia nguvu hao wazee wa NDIYOOOO!
 
Mungu akutie nguvu Bw. Pascal!
Kamati nzima imekaa kumhoji mwenye haki, nachelea kusema kama vile Yesu alivyohojiwa.
Mungu asaidie kusiwe na maagizo toka juu.
 
Back
Top Bottom