Ha ha ha! Ila kama Shonza naye ni mjumbe kwenye hiyo kamati basi Pasco kwisha habari yake, huyu ngosha wetu akiona rangi ya chungwa point zina potea kichwani.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ukiangalia Lugha ya Picha ni kama vile Jamaa anawapiga shule fulani hivi hao wa Mbele yake,
Au Boss Fulani hivi yuko Kikaoni anaendesha kikao
Ukishamuhoji yeye atafaidika nini? Na wewe au nyinyi ni nani mpaka jamaa apoteze muda wake umuhoji?Pascal Mayalla Kwanza nikupe pole, pili nikuombe uje huku JF ufungue uzi ili na sisi tukuhoji kilichotokea, sasa naamini umeilewa vizuri hii Serikali nakushauri simamia kweli daima
Pole Comrade Pasco Mayalla, huko mjengoni hakuna free speech wala great thinking.
Mwandishi wa kujitegemea, Ndg. Pascal Mayala (katikati) akihojiwa na Kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kwa kosa la kuandika habari yenye maudhui ya kudharau Bunge kwenye safu yake ya gazeti la Rai Mwema
Amefika hapo ikiwa ni baada ya Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai kuagiza Ndg. Pascal Mayala pamoja Wahariri wa Gazeti la Raia Mwema wafikishwe mbele ya kamati hiyo.
Habari zaidi, soma=>Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge
Mwelevu akiwa katkat ya wasioelewa jambo ni ngumu sana kushinda iwapo kuna ushabiki flanAwaumbue tu kama Zitto.
Nakujua Pasco mtaalam wa kujenga hoja.
Ha ha ha,Ha ha ha! Ila kama Shonza naye ni mjumbe kwenye hiyo kamati basi Pasco kwisha habari yake, huyu ngosha wetu akiona rangi ya chungwa point zina potea kichwani.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ukiingia humu kwenye vichwa vya habari, angalia juu utaona "post new thread" bonyeza hapo utaona " Thread title" andika kichwa chako cha habari. Chini kuna kisanduku humo andika mada inayohusiana na kichwa cha habari. Ukimaliza shuka chini utaona "create thread" bonyeza na baada ya hapo umeshapost kitu humu. Ukitaka kuona ulichoandika rudi nyuma alafu jifanye kama unaingia humu upya kabisa, utakuta Uzi wako kwenye orodha imeshatokea na watu wameanza kuchangiaNataka kupost kitu ila cjui jomn mm mgen
Katika nchi ya DEMOKRASIA huwezi KUHOJI mwandishi HURU ama GAZETI HURU.