Pascal huwa wkt mwengine ninamwelewa na kutomwelewa lkn kwa hoja yake hii aliyoiandika kwenye Gazeti, ninampatia hongera sana. Kaka, usitishwe na upepo wa msimu, komaa na utunze hadhi na taaluma yako ya uana habari ktk jamii! Hao wengine wote wanaojifanya kukutisha kwa mahojiano kwetu ssi tunaona km ni maigizo tu, welevu tulishajua kitambo kupwaya kwa chombo hicho! Kwa maoni yangu, Bunge hilo lifutwe tu halina kazi yoyote ya maana zaidi ya kutapanya kodi ya wananchi. Ni Bunge lenye sura km lile la katiba mpya ambalo lilikula pesa za bure!