Pascal Mayalla aitaka TCRA iufungie mtandao wa Twitter kwani kuna mambo machafu yanayoendelea huko

Kwa hiyo ushauri wa Pascal Mayalla umezingatiwa au siyo? Urithi wakati mwingine unalipa hasa ule wa fuata nyayo...poleni wahanga wote popote mlipo!
Kiukweli nimsikitikia kaka yangu Pascal Mayalla nimiongoni mwa watu walionivutia kujiunga Jf, lakini kiukweli amekua kituko nbele yamacho yawenye akili. Mwenyezimungu atujalie mwisho ulie mwema, namwisho wangu naomba usiwe huu kama wa Pasco.
 
Naona walichukua hili wazo na limefeli.

Hoja hata kama ya kipuuzi huifungi mdomo bali unaijibu.
Mbili Matusi si sababu ya kufunga mitandao bali ni kiashiria cha udhaifu wa mfumo wetu wa kulea vijana katika kipindi cha kuwapa maarifa (shule na vyuo), kuwakuza (familia, jamii na dini). Suluhisho ni proper social engineering (tuingie humo tukiwa na suali hili tunataka kijana anayezaliwa leo awaje miaka 23 ijayo katika jamii, soko la ajira la ndani na nje, ulimwengu wa technology, ujasiriamali n.k.) na si kufunga mitandao.
 
Kwataarifa yako hiyo ni syndicate
 
NONSENSE!
NONSENSE!
NONSENSE!
 
Kiukweli nimsikitikia kaka yangu Pascal Mayalla nimiongoni mwa watu walionivutia kujiunga Jf, lakini kiukweli amekua kituko nbele yamacho yawenye akili. Mwenyezimungu atujalie mwisho ulie mwema, namwisho wangu naomba usiwe huu kama wa Pasco.
Msamehe bure hajui alitendalo.
 
Pascal ni mzalendo kweli kweli
Uzalendo sio kuiunga mkono serikali iliyoko madarakani.
Uzalendo n kutetea ustawi endelefu taifa lako.e.g kutetea haki za kiraia,kuzingatia katiba ya nchi na kuwaletea maendeleo watu
Muwe mtatumia akili hata kidogo.
 
NONSENSE!
NONSENSE!
NONSENSE!
Are you a follower of Kigogo? Be careful you're lost my friend. You can't be gentleman for just ignoring everybody in the society. In the end you will come to realize that the problem is yourself and not that society.

Go and use wisely your vote this morning that's only means to confess before our beautiful nation Tanzania.
 
NONSENSE!!
NONSENSE!!
NONSENSE!!
 

Mitandao mnaitumiaga vibaya kuhamasisha uvunjifu wa amani. Angalia tunavyopiga kura kwa amani na utulivu.
Kimya kimya tunampaisha JPM .
Hii ndio Tanzania bwana.
Amani na utulivu , JPM kweli yupo vizuri.
 
Wamezoea udikteta usukumani pascal Mayala ndio maana wanataka kila kitu kifungwe.
 
Huyo mnafiki mayalla mnampa mileage aliyokuwa anataka na si nyingine ni kuzungumziwa.Mnafiki sana huyu jamaa kuna kipindi alijifanya kumchallange magu kwa katiba mpya mara anamsifia shida yake uongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…