Pascal Mayalla aitaka TCRA iufungie mtandao wa Twitter kwani kuna mambo machafu yanayoendelea huko

Mind is a terrible thing to waste!
 
Duh...!, kumbe siku ile niliidharau bure TCRA na serikali yetu kuwa hawawezi!, kumbe jamaa wanaweza na sasa wametufungia Twitter kwasababu ya mtu mmoja tuu!.
Ni sheedah.
P
Twitter haijafungiwa ila wamefungia internet ku access Twitter. Kuna wenzetu bado wanatiririka huko Twitter sijui wannatumia internet gani!
 
Duh...!, kumbe siku ile niliidharau bure TCRA na serikali yetu kuwa hawawezi!, kumbe jamaa wanaweza na sasa wametufungia Twitter kwasababu ya mtu mmoja tuu!.
Ni sheedah.
P
Serikali huwa ina underestimate mitandao kwenye mdomo lakini moyoni wanajua how powerful mitandao ilivyo.
Kwa mara ya kwanza Tanzania mitandao inafanyiwa figisu katika kipindi cha uchaguzi Mkuu, hii ni hofu kwa CCM.
 
Mwandishi uchwara huyu.

No wonder aliambulia kura moja.

Kwanza hana mvuto kabisa wa kuongoza hata mifugo seuse watu.

Mikosi itamuandama sana kudhani maisha ni kutete CCM tu.

Dunia tunapita hii.

Sahuri yake!
 
Uyu jamaa namwamini ila ila ila awe makini tu
 
Duh...!, kumbe siku ile niliidharau bure TCRA na serikali yetu kuwa hawawezi!, kumbe jamaa wanaweza na sasa wametufungia Twitter kwasababu ya mtu mmoja tuu!.
Ni sheedah.
P
Hii leo ni komesha, hapa nipo kwa hisani ya VPN . Nasikia JF nayo inapambana iko mtu kati [emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…