Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo sio utabiri ni ubashiriUtabiri wangu: Rais 2025 Tanzania ni mwanamke
Rais 2025 labda awe mkeo sikatai. Ila mwanamke mwingine usitarajie Haaaa Samia huyooowww.jamiiforums.com
Huo haukuwa utabiri bali ulikuwa ubashiri kwa kuzingatia kitu au mtu unayemwona wewe na kwa yakini kila mmoja anamwona. kipindi hicho cha Novemba 19, 2016 msaidizi wa raisi alikuwa ni mwanamke na ndiye kwa mjibu wa taratibu anaweza kuchukua nafasi hiyo kwa hukutabiri bali ulibashiri.................View attachment 2333147
Hiyo hapo tena wewe ni moja wapo wa waliolike hilo bandiko langu.
Uwe na kumbukumbu mzee.
Mkuu Stroke, kwanza asante kwa hilo bandiko lako la 2016Kuna ambalo niliandika 2016 jamaa akakopi 2017 halafu anaanza kujisifia.
Watu bhana.
Sasa kwenye hoja zangu kuhusu urais wa Samia, kitu gani nilicho copy kwako?.Naona kuna dalili zoote kuwa Rais wetu ajaye baada ya huyu wa sasa kuwa mwanamke!
Naomba hili liwe reference kwa 2025!
Hakutabiri ila alibashiri, labda useme ile ya mwaka 2014 ambayo alisema mwaka 2015 "could be JPM". Hata hivyo huo sio utabiri ni ubashiri kwa kuzingatia aina ya watu anaowafuatilia na mahitaji ya watu kwa nyakati husika. Mbona pia amebashiri kwamba kwa mwaka 2025 " could be Paul Makonda"? Kwa ujumla wanachofanya hawa watu ni kubashiri sio Kutabiri maana utabiri unawezeshwa na nguvu ya ziada ikiwemo imani juu ya mambo yasiyoonekana na yatarajiwayo....Pascal Mayalla aliandika "Ingekuwa ni amri yangu, ningemwambia tuu naniliu aamue 2020 asigombee his second term, na badala yake, ampishe ili awe huyu mama!.
Mungu ambariki sana Mama Samia na kuwabariki wanawake wote leo siku ya Wanawake Duniani." -Paskali. Hii aliiandika hapa JF Mar 9, 2017.
Hivyo wanaosema Pascal Mayalla kabadilika baada ya Mh hayati Magufuli kufarika, hawakuutambua msimamo wa Pascal kuhusu Mama Samia hata wakati wa uhai wa Magufuli. Katika Thread hiyo yenye kichwa cha habari "Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth" Pascal kazianisha kwa kirefu sifa za Mama Samia zinazomfanya kuwa na uwezo wa kuwa Rais wa JMT. Binafsi nimezipitia tena mara 3 na kumpa Pascal 5.
Kuanzia sasa hivi sitapuuzia maandiko yako hapa JF, KWANI YANA WELEDI MKUBWA NA MAONO ya huko mbeleni.
Thread 'Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!' Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!
Wote ninyi stroke & P ni wabashiri kwa kulingana na unachokiona kiuhalisia sio kwamba mlitabiri hapo kwa hiyo msibishane maana hamna nguvu za ziada kuona kitakachojiri keshoMkuu Stroke, kwanza asante kwa hilo bandiko lako la 2016
ni hili na ulichoandika ni hiki
Sasa kwenye hoja zangu kuhusu urais wa Samia, kitu gani nilicho copy kwako?.
Wewe umetaja tuu rais Mwanamke 2025 na wala hukumtaja ni nani!. Mimi nimemtaja JPM ampishe Samia for 2020, nime copy nini kwako?.
Wewe umezungumzia jinsia ya rais wa 2025, mimi nimezungumzia Samia kuwa rais 2020, wapi na wapi?.
P
Mkuu Intelligence Justice, kwanza naungana na wewe it's true sio utabiri, ni ubashiri tuu kama betting!.Hakutabiri ila alibashiri, labda useme ile ya mwaka 2014 ambayo alisema mwaka 2015 "could be JPM". Hata hivyo huo sio utabiri ni ubashiri kwa kuzingatia aina ya watu anaowafuatilia na mahitaji ya watu kwa nyakati husika. Mbona pia amebashiri kwamba kwa mwaka 2025 " could be Paul Makonda"? Kwa ujumla wanachofanya hawa watu ni kubashiri sio Kutabiri maana utabiri unawezeshwa na nguvu ya ziada ikiwemo imani juu ya mambo yasiyoonekana na yatarajiwayo....
Mkuu Zawadi Ngoda, kwanza asante kunianzishia thread, lugha ya Kiswahili ni kigumu na kina upungufu mkubwa vocabulary na tafsiri za maneno, kwenye bandiko hili umeandika neno "tabiri" badala ya neno"Bashiri", wanaotabiri ni Watabiri, ni watu wa Mungu, na utabiri wao ni wanaonyeshwa na Mungu kupitia maono, sauti, ndoto au kutokewa. Ubashiri ni watu wa dunia hii, ni betting hivyo hoja zangu ni ubashiri na sio utabiri.Pascal Mayalla aliandika "Ingekuwa ni amri yangu, ningemwambia tuu naniliu aamue 2020 asigombee his second term, na badala yake, ampishe ili awe huyu mama!.
Mungu ambariki sana Mama Samia na kuwabariki wanawake wote leo siku ya Wanawake Duniani." -Paskali. Hii aliiandika hapa JF Mar 9, 2017.
Hivyo wanaosema Pascal Mayalla kabadilika baada ya Mh hayati Magufuli kufarika, hawakuutambua msimamo wa Pascal kuhusu Mama Samia hata wakati wa uhai wa Magufuli. Katika Thread hiyo yenye kichwa cha habari "Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth" Pascal kazianisha kwa kirefu sifa za Mama Samia zinazomfanya kuwa na uwezo wa kuwa Rais wa JMT. Binafsi nimezipitia tena mara 3 na kumpa Pascal 5.
Kuanzia sasa hivi sitapuuzia maandiko yako hapa JF, KWANI YANA WELEDI MKUBWA NA MAONO ya huko mbeleni.
Thread 'Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!' Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!
Kiswahili ni mtihani. Asante kwa kunisahihisha na kunielewa nilichomaanisha. Nakiri kuwa nilimaanisha kubashiri na sio kutabiri. Tupo pamoja.Mkuu Zawadi Ngoda, kwanza asante kunianzishia thread, lugha ya Kiswahili ni kigumu na kina upungufu mkubwa vocabulary na tafsiri za maneno, kwenye bandiko hili umeandika neno "tabiri" badala ya neno"Bashiri", wanaotabiri ni Watabiri, ni watu wa Mungu, na utabiri wao ni wanaonyeshwa na Mungu kupitia maono, sauti, ndoto au kutokewa. Ubashiri ni watu wa dunia hii, ni betting hivyo hoja zangu ni ubashiri na sio utabiri.
Asante.
P.
Hakutabiri ila alibashiri, labda useme ile ya mwaka 2014 ambayo alisema mwaka 2015 "could be JPM". Hata hivyo huo sio utabiri ni ubashiri kwa kuzingatia aina ya watu anaowafuatilia na mahitaji ya watu kwa nyakati husika. Mbona pia amebashiri kwamba kwa mwaka 2025 " could be Paul Makonda"? Kwa ujumla wanachofanya hawa watu ni kubashiri sio Kutabiri maana utabiri unawezeshwa na nguvu ya ziada ikiwemo imani juu ya mambo yasiyoonekana na yatarajiwayo....
Thanks for understanding, tena sio mimi, ni member huyu ndiye amerekebisha.Kiswahili ni mtihani. Asante kwa kunisahihisha na kunielewa nilichomaanisha. Nakiri kuwa nilimaanisha kubashiri na sio kutabiri. Tupo pamoja.
It's true nililike bandiko lako hili, enzi hizo ukiwa na ile ID yako nyingine.View attachment 2333147
Hiyo hapo tena wewe ni moja wapo wa waliolike hilo bandiko langu.
Uwe na kumbukumbu mzee.
Kuna ambalo niliandika 2016 jamaa akakopi 2017 halafu anaanza kujisifia.
Watu bhana.
Mkuu Stroke, humu jf tunajadiliana kwa hoja, facts na nondo za kutetea hoja yako. Ukitoa hoja fulani, unaitetea hoja yako kwa facts na data.Wanabodi,
Kiukweli huyu ni mwanamke wa kupigiwa mfano, mtanisamehe sina maneno ya Kiswahili ya kujitosheleza kumuelezea, she is just so womanly, so genuine, so simple, very humble na down to earth!, ana a very rare charisma, which is very hard to find kwa viongozi wetu wengi wa kisiasa. Kwa jinsi alivyo na sauti safi, tamu na laini yenye lafudhi ya Kizanzibari, akiongea, utatamani asimalize kuongea, utatamani aendelee tuu kuongea, ukijumlisha na yale macho...!, sijui hata akitaka kugomba, atagomba kwa sauti gani na macho gani maana...!.
She is just everything a woman needs to be!. Ingekuwa ni amri yangu ningetaka wanawake wenye uongozi, madaraka na mamlaka waige mfano wa Mwanamke huyu and to be honest I wish if Mungu angemua, huyu mama ndio akawa, then amini usiamini tutakuwa na Tanzania nzuri 100 times kuliko Tanzania hii tulionayo sasa!.
Ingekuwa ni amri yangu, ningemwambia tuu naniliu aamue 2020 asigombee his second term, na badala yake, ampishe ili awe huyu mama!.
Mungu ambariki sana Mama Samia na kuwabariki wanawake wote leo siku ya Wanawake Duniani.
Paskali
Wewe bandiko lako hili, Utabiri wangu: Rais 2025 Tanzania ni mwanamkeKuna ambalo niliandika 2016 jamaa akakopi 2017 halafu anaanza kujisifia.
Watu bhana.
ulizungumzia tuu jinsia ya rais wa Tanzania, 2025 na wala hukumtaja ni nani, ukimaanisha anyone alimradi ni mwanamke.Naona kuna dalili zoote kuwa Rais wetu ajaye baada ya huyu wa sasa kuwa mwanamke!
Naomba hili liwe reference kwa 2025!
Hakutabiri ila alibashiri, labda useme ile ya mwaka 2014 ambayo alisema mwaka 2015 "could be JPM". Hata hivyo huo sio utabiri ni ubashiri kwa kuzingatia aina ya watu anaowafuatilia na mahitaji ya watu kwa nyakati husika. Mbona pia amebashiri kwamba kwa mwaka 2025 " could be Paul Makonda"? Kwa ujumla wanachofanya hawa watu ni kubashiri sio Kutabiri maana utabiri unawezeshwa na nguvu ya ziada ikiwemo imani juu ya mambo yasiyoonekana na yatarajiwayo....
Aliyetabiri JPM atakua Rais ni member wa JF humu anatumia ID ya MAGAMBA MATATU angalia hiyo ni thread ya mwaka 2012...Pascal Mayalla kama kawaida yake huwa anacopy mawazo ya wengine na kuyafanya ya kwake ili kujitafutia umaarufu humu JFKuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa
Kwa nini nimeamua kusema hivi? Kuna mambo matano (5) makuu yananilazimisha kusema kuwa: "Tanzania itatawaliwa kidikteta" Ni vigumu sana kwa mtu asiyeona mbali kunielewa kirahisi na pia ni rahisi sana kwa anayependa demokrasia kunibeza na kuniona kama naota. 1. Kwanza kuna uwezekano mkubwa...www.jamiiforums.com
Zawadi Ngoda, leo Mama anatimiza umri wa miaka kadhaa, mwaka 2025 she will be miaka kadhaa, akigombea 2025 hivyo 2030 she will be miaka kadhaa, hivyo kama ulivyosema huta puuzia maandiko yangu,Kuanzia sasa hivi sitapuuzia maandiko yako hapa JF, KWANI YANA WELEDI MKUBWA NA MAONO ya huko mbeleni.
Kiharusi hicho kisamehe bureMkuu Stroke, kwanza asante kwa hilo bandiko lako la 2016
ni hili na ulichoandika ni hiki
Sasa kwenye hoja zangu kuhusu urais wa Samia, kitu gani nilicho copy kwako?.
Wewe umetaja tuu rais Mwanamke 2025 na wala hukumtaja ni nani!. Mimi nimemtaja JPM ampishe Samia for 2020, nime copy nini kwako?.
Wewe umezungumzia jinsia ya rais wa 2025, mimi nimezungumzia Samia kuwa rais 2020, wapi na wapi?.
P
Tusiitane majina ya kiajabu ajabu, japo Stroke ni ugonjwa wa kiharusi, mtu humu akijiita Stroke tumuite Stroke tusimuite kiharusi kwasababu huwezi jua hiyo stoke yake ni ipi, maana neno stroke lina maana zaidi ya 10!Kiharusi hicho kisamehe bure
Mkuu Zawadi Ngoda , asante tena kwa bandiko hili, nimekuwa nazidi kupata wafuasi, nimekata shauri na mimi kuanzisha kanisa langu, ila litakuwa ni kanisa mtandao, nitawahudumia waumini wangu kwa mtandao tuu. Huyu ni mmoja wa wafuasi wangu.Pascal Mayalla aliandika "Ingekuwa ni amri yangu, ningemwambia tuu naniliu aamue 2020 asigombee his second term, na badala yake, ampishe ili awe huyu mama!.
Mungu ambariki sana Mama Samia na kuwabariki wanawake wote leo siku ya Wanawake Duniani." -Paskali. Hii aliiandika hapa JF Mar 9, 2017.
Kuanzia sasa hivi sitapuuzia maandiko yako hapa JF, KWANI YANA WELEDI MKUBWA NA MAONO ya huko mbeleni.
Thread 'Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!' Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!
Mkuu mdukuzi, kwanza asante kwa bandiko hili Pasco Mayalla ana vielement vya unabii afungue kanisaNilianza kumuona miaka ile na kipindi chake cha Kitimoto.
Kupitia JF Nimekuwa nikifuatilia maandishi yake, nara kadhaa, niseme tu maandishi yake yana unabii ndani yake, orodha ni ndefu sana nikiweka hapa hapatoshi, vitu vingine huchukua miaka hata mitano kutokea, hakuna mwana JF anayemfikia kwa hilo.
Kama hana pepo wa utambuzi basi ana roho mtakatifu.