Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
- Thread starter
- #101
Kaibukia DW leo mchanaHuyu mwamba angalipo? Hana habari mpya zozote kuhusiana na lile genge letu pendwa la kwetu?
Hiiiiii bagosha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaibukia DW leo mchanaHuyu mwamba angalipo? Hana habari mpya zozote kuhusiana na lile genge letu pendwa la kwetu?
Hiiiiii bagosha!
Hivi Mama Samia atakuwa huku kweli?Alo ww ndio Mh Rais wa jamuhuli ya muungano"?!
Mbona nyingi za afrika ni fekiHakuna mamlaka iliyoko madarakani isiyotokana na Mungu. Mamlaka feki hujulikana ndani ya muda mfupi.
Mbona nyingi za afrika ni fekiHakuna mamlaka iliyoko madarakani isiyotokana na Mungu. Mamlaka feki hujulikana ndani ya muda mfupi.
Pascal hana haja ya kutetea hoja zake maana historia inathibitisha hoja zake kwamba Rais Mwinyi na Mkapa walibebwa na Nyerere, Magufuli alibebwa na Kikwete, wa sasa amebebwa na Katiba ni Kikwete tu aliingia madarakani kwa mbinu zake. Kati ya Marais wote ni Magufuli pekee ambaye angehitaji Rais wa kumlinda asipelekwe Mahakamani baada ya kustaafu maana alikuwa na madhambi mengi sana dhidi ya Raia na Taifa na yangeendelea kujitokeza kama Covid-19 isingemuokoa kwa kumpeleka mbele ya yule mwovu mwenzake. Wakati wa Uongozi wake wananchi wengi waliuawa na wasiojulikana, wengi walipotea, walitekwa, waliteswa, walijeruhiwa, walitupwa lupango hadi leo bila vyombo vya Serikali yake kuchunguza. Ngoja tuangalie upepo unaendaje yote yawekwe wazi!Sasa mtu akimkubali Magufuli ndio awe mtu sahihi!
Magufuli dictator uchwara huenda alimwandaa ili amlinde akistaafu.
Rais muovu huwa analazimisha mrithi wake kwaajili ya kumlinda akistaafu.
Pascal Mayalla njoo utetee hoja zako huku
Anamezea mate nafasi ya GerisoniiLengo la Paschal ni kuteuliwa idara ya habari maelezo wana hana jipya
Sijawahi kumwelewa huyo Pascal Mayalla wenu, kimsingi ni very poor analyst na ana mihemko sanaMayala amedai pia haoni njia ya Bashiru kufufuka tena kisiasa na ndiyo hivyo Mama Samia Suluhu ameshampoteza na Wana CCM wamefurahi mno.
😂😂😂😂😂 hii dunia imejaa fitnaAnamezea mate nafasi ya Gerisonii
Deutsch Welle - Idhaa ya kiswahili ya ujerumaniDW ndio nini mkuu
Hizo nguvu sasa azioneshe nje ya mbelekeo ya Hayati magufuli tuzione. Afanye vizuri hapo bungeni apate uwaziri, akipata uwaziri ni rahisi kwenda kupata jimbo na akarudi bungeni msimu ujao.Proverbs 25: 3
You never know what a king is thinking; his thoughts are beyond us; like the heights of the sky or the depths of the ocean.
Hapo kwenye king weka queen na his weka her.
Bashiru CCM anachukiwa na majizi na mafisadi ambao hawana nguvu hiyo kwa kizazi hiki cha Watanzania wa sasa waliojitambua baada ya kuongozwa na Hayati JPM miaka 5 na miezi 5.
Lakini tulivyokuwa tuna sikia kelele hapa jF za katibu mkuu hazina nani alijua leo tungesoma hapa hapa jF habari za mkwe?
Kama yuko mtu anaye under rate nguvu za Bashiru ndani ya CCM ni wa kumuonea huruma sana tu.
Sio vizuri akaachwa hivi hivi, kwa mtu muungwana kama kama Samia na aliyekuwa kwenye siasa za chama muda mrefu anafahamu Bashiru kuitumikia nafasi ya KM kwa muda wote huo lazima amekwaruzana na watu ambao kwa namna moja au nyingine watamuwinda asipokuwa na kinga, Yawezekana mama akawa hamtaki lakini kumwacha hivi hivi bila kinga ni kuwaruhusu maadui zake wapite nae jumla jumla, hivyo ni sahihi yeye kupewa kinga ya ubunge, kutokea hapo aoneshe sasa kuwa anaweza kujibeba na kujilinda mwenyewe.Kamati ya roho mbaya inadai kwamba ndugu Bashiru bado amesitiriwa sana
alitakiwa arudishwe jalalani alikotolewa kwenda ku mark course work za mwaka wa kwanza.
Kale katoto kanakocheza kwenye vumbi katakuja kuwa Rais wetu mpendwa kwa hiyo ni bora kuliko mfu Magufuli ambaye saa hii anashambuliwa na minyoo awe udongo wa milele. Mfu ni mfu tu hana faida kwa yeyote.Huyu huyu Pascal Mayalla aliwahi sema Magufuli ni Zaidi ya Nyerere, Leo anageuza maneno anasema Samia ni bora kuliko Magufuli !!!!!!!!
Mbona aliwahi kusema zamani kabla mzee hajatoweka?Na wote tuseme Amina
Lakini Paskali uwiiii ameshindikana kheee
Huu undumilakuwili ni dhahiri hana amani ndani ya moyo. Leo wa kusema Mama ni mzuri sijui bora kuliko aliyemtangulia?! Huu ni Unafiki Uchawi wa kupitiliza. Kwa nini hakukaa kimya kujiheshimu kuliko kujitengenezea maadui
Paskali punguza misifa isiyo ya lazima
Ulaghai dah
Usimtegemee Mwanadamu leo weye wa kumponda Magu ! Dunia inaenda mbio sana
Paskali muombe sana Mungu akufunulie msaidie na mwenzako msando wote mko na tatizo kwenye mioyo yenu
Pasaka Njema
Amefanya mlinganyo. Hata ajaye atakuwa mzuri zaidi kuliko MamaHuyu huyu Pascal Mayalla aliwahi sema Magufuli ni Zaidi ya Nyerere, Leo anageuza maneno anasema Samia ni bora kuliko Magufuli !!!!!!!!
Mkuu huyo haozi, muda wote ule alitembezwa hakuoza. Kapigwa sindano na kukaushwa.Kale katoto kanakocheza kwenye vumbi katakuja kuwa Rais wetu mpendwa kwa hiyo ni bora kuliko mfu Magufuli ambaye saa hii anashambuliwa na minyoo awe udongo wa milele. Mfu ni mfu tu hana faida kwa yeyote.
Radio kubwa duniani imemhoji leoSijawahi kumwelewa huyo Pascal Mayalla wenu, kimsingi ni very poor analyst na ana mihemko sana
Tunaposema CCM itatawala milele, we mean it!.Mimi wajibu wangu ni kiweka wasifu wa Dr.Bashiru na falsafa yake.
View attachment 1740406