Pascal Mayalla amchambua Dkt. Bashiru, adai aliandaliwa kuwa Rais 2025

Sasa mtu akimkubali Magufuli ndio awe mtu sahihi!

Magufuli dictator uchwara huenda alimwandaa ili amlinde akistaafu.

Rais muovu huwa analazimisha mrithi wake kwaajili ya kumlinda akistaafu.

Pascal Mayalla njoo utetee hoja zako huku
Pascal hana haja ya kutetea hoja zake maana historia inathibitisha hoja zake kwamba Rais Mwinyi na Mkapa walibebwa na Nyerere, Magufuli alibebwa na Kikwete, wa sasa amebebwa na Katiba ni Kikwete tu aliingia madarakani kwa mbinu zake. Kati ya Marais wote ni Magufuli pekee ambaye angehitaji Rais wa kumlinda asipelekwe Mahakamani baada ya kustaafu maana alikuwa na madhambi mengi sana dhidi ya Raia na Taifa na yangeendelea kujitokeza kama Covid-19 isingemuokoa kwa kumpeleka mbele ya yule mwovu mwenzake. Wakati wa Uongozi wake wananchi wengi waliuawa na wasiojulikana, wengi walipotea, walitekwa, waliteswa, walijeruhiwa, walitupwa lupango hadi leo bila vyombo vya Serikali yake kuchunguza. Ngoja tuangalie upepo unaendaje yote yawekwe wazi!
 
Hizo nguvu sasa azioneshe nje ya mbelekeo ya Hayati magufuli tuzione. Afanye vizuri hapo bungeni apate uwaziri, akipata uwaziri ni rahisi kwenda kupata jimbo na akarudi bungeni msimu ujao.
 
Kamati ya roho mbaya inadai kwamba ndugu Bashiru bado amesitiriwa sana

alitakiwa arudishwe jalalani alikotolewa kwenda ku mark course work za mwaka wa kwanza.
Sio vizuri akaachwa hivi hivi, kwa mtu muungwana kama kama Samia na aliyekuwa kwenye siasa za chama muda mrefu anafahamu Bashiru kuitumikia nafasi ya KM kwa muda wote huo lazima amekwaruzana na watu ambao kwa namna moja au nyingine watamuwinda asipokuwa na kinga, Yawezekana mama akawa hamtaki lakini kumwacha hivi hivi bila kinga ni kuwaruhusu maadui zake wapite nae jumla jumla, hivyo ni sahihi yeye kupewa kinga ya ubunge, kutokea hapo aoneshe sasa kuwa anaweza kujibeba na kujilinda mwenyewe.
 
Huyu huyu Pascal Mayalla aliwahi sema Magufuli ni Zaidi ya Nyerere, Leo anageuza maneno anasema Samia ni bora kuliko Magufuli !!!!!!!!
Kale katoto kanakocheza kwenye vumbi katakuja kuwa Rais wetu mpendwa kwa hiyo ni bora kuliko mfu Magufuli ambaye saa hii anashambuliwa na minyoo awe udongo wa milele. Mfu ni mfu tu hana faida kwa yeyote.
 
Mbona aliwahi kusema zamani kabla mzee hajatoweka?
 
Kale katoto kanakocheza kwenye vumbi katakuja kuwa Rais wetu mpendwa kwa hiyo ni bora kuliko mfu Magufuli ambaye saa hii anashambuliwa na minyoo awe udongo wa milele. Mfu ni mfu tu hana faida kwa yeyote.
Mkuu huyo haozi, muda wote ule alitembezwa hakuoza. Kapigwa sindano na kukaushwa.
 
Sikiliza hii
Mimi wajibu wangu ni kiweka wasifu wa Dr.Bashiru na falsafa yake.
View attachment 1740406
Tunaposema CCM itatawala milele, we mean it!.

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…