Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,020
- 6,161
Kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa mamlaka ya akina Gnassinbé Eyadema, Francisco Nguema, Teodoro Nguema, Charles Taylor, Siad Barre na Idi Amin Dada yalitoka kwa Mungu?Hakuna mamlaka iliyoko madarakani isiyotokana na Mungu. Mamlaka feki hujulikana ndani ya muda mfupi.
Nadhani atakuwepoHivi Mama Samia atakuwa huku kweli?
Mpaka hapo inaonekana somo la civics hukulizingatia,yaan Bashiru aje apewe u PM,kwa katiba ipi,? PM Ni lazima atokane na mbunge wa kuchaguliwa jimboni si kuteuliwaBashiru amekitendea haki Sana Chama cha mapinduzi na kukitoa katika meno ya wenye meno!! Ila sina uhakika yeye mwenyewe alikuwa safi kiasi gani? Tatizo liko hapo! Ila huwezi kujua mahesabu ya mama! Kwa kuchaguliwa kuwa mbunge, kutokea hapo anaweza kupaishwa nafasi yoyote hata kuwa PM Nani ajuaye? Ila wapigaji ndani ya Chama hawana hamu naye!
Paschal hana jipya ni njaa tu inamsumbua hajui hata anafanya nini hapa duniani
Exactly, kama unaamini biblia bila shaka utakuwa unafahamiana na kisa cha Nebukadneza alivyonyenyekezwa na Mungu kwa kugeuzwa ufahamu wa kibinadamu na kupewa wa mnyama hata akaenda kuishi porini kwa muda wa miaka saba.Kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa mamlaka ya akina Gnassinbé Eyadema, Francisco Nguema, Teodoro Nguema, Charles Taylor, Siad Barre na Idi Amin Dada yalitoka kwa Mungu?
Hapo sasaKwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa mamlaka ya akina Gnassinbé Eyadema, Francisco Nguema, Teodoro Nguema, Charles Taylor, Siad Barre na Idi Amin Dada yalitoka kwa Mungu?
Anajuaje mambo ya jikoni kabisaPascal alivyopotea jukwaani kumbe alikuwa mwandishi wa habari maalum wa mwendazake siyo??!
Wakijadiliana future plans za nchi hii?? 😂
Everyday is Saturday................................😎
Wanafiki nyie na DW yenu..............Mwana JF nguli, Akihojiwa Radio DW Pascal Mayala, amemchambua Dr Bashiru. Amesema Dr Bashiru kapata ajali kubwa sana kisiasa na hatoinuka tena. Pia kadai Magufuli amiini usiamini alikuwa akimwandaa Dr Bashiru kuwa Rais 2025.
Mayala amedai Dr Bashiru aliyeibukia kuwa Katibu Mkuu wa CCM baada ya kuhakiki Mali za chama hicho alichukiwa mno kutokana na style yake ya uongozi.
Amesema amekinyoosha mno chama hadi kupitiliza na kusababisha kuchukiwa mno kuliko Katibu Mkuu yeyote katika Historia ya CCM. Pia amedai Dr Bashiru ni mjamaa mno au Mnyerere na Marehemu Magufuli alimkubali na kumpenda Sana na alipanga kumuachia Urais 2025.
Mayala amedai pia haoni njia ya Bashiru kufufuka tena kisiasa na ndiyo hivyo Mama Samia Suluhu ameshampoteza na Wana CCM wamefurahi mno.
Amesema kwa uhakika utawala wa Mama Samia Suluhu atakuwa Rais mzuri Sana kuliko Rais Magufuli.
Source: Radio DW Swahili, Leo mchana saa Saba, 01/04/2021.
TeteteteNjaaa imemtafuna balaa sijui kwanini akutenga msiba kama yule mama wa tunduma mbeya aliposikia mh kafariki maana pascal alikuwa anamsifia mh mapaka kero
Hivi bahati hiyo itarejea kweli?Bado naamini Bashiru alikuwa mrithi mzuri wa Hayati Magufuli
Ndiyo tumuulize, mwendazake alimuambia?? Au tuseme naye ana connection na jamaa yule wa twitter republic??Anajuaje mambo ya jikoni kabisa
Pascal Mayalla atakuwa na connection sio bure. Pia Kuna mwana CCM aliwahi kuniambia kuhusu Dr Bashiru 2025. Uzi upo humu. Ila bahati haipotei hucheleweshwa. May be 2030 au hata 2040 uzeeni mwake.Ndiyo tumuulize, mwendazake alimuambia?? Au tuseme naye ana connection na jamaa yule wa twitter republic??
Everyday is Saturday............................... 😎
Unaambiwa Dr Bashiru alichelewa Sana kununua simu zilipoingia na usomi wake wa shahada kipindi hicho. Pia alichelewa Sana kujiunga na social networks. Yeye kwa hayo ni technology za magharibi zilizojaa upotofu na unyonyaji wa hali ya juu.Siku zote nilikua natafuta sababu ya kwa nini watu hawamkubali kabisa. Sasa nimeipata. Kumbe ni "mjamaa " sana. Dah! Basi hata mimi nadelete kabisa. Ujamaa ni kosa dhidi ya utu na ubinaadamu. Unatakiwa upingwe kwa hali na Mali. Ujamaa ushindwe na ulegee! !