City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
Mkumbuke kwenye bandari zako mkuu, mpe hata u-spokeperson😀Pascal Mayalla ndo chawa mwenye maumivu makali kuliko wote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkumbuke kwenye bandari zako mkuu, mpe hata u-spokeperson😀Pascal Mayalla ndo chawa mwenye maumivu makali kuliko wote.
Kwa hiyo alikuwa anaigiza ?...😂😂Sio kila anae enda kugombea..anagombea kweli
Pambaneni kuboresha maisha ya wapiga kura wenu.yani chadema itapelekwa mchakamchaka sipati picha walah
Hamna ukabila wowote ni njaa tu.Mayalla ni kipimo cha Uidiot wa Wasomi wa Tanzania katika kuendekeza Ukabila.
Pongezi zote hizo na kusifia sifia Msukuma mwenzake mwenye vyeti feki.
Kumbe naye ni chawa!!!! Nilidhani waliomshuku kujikomba na kutafuta cheo walikuwa wakimuonea kumbe kweli. Mtu mwenye akili timamu hawezi kumpongeza huyu A'oodhu Billahi min al-Shaytaan ir-rajeem ibn al muthnaqKada maarufu wa CCM leo amefurahia kwa bashasha zote.
Amempigia simu Paul Makonda na kumpongeza kwa kupata uteuzi wa heshima.
Mbali na hilo amefurahia CCM kupata mchapa kazi na jembe.
vyeti vyako original vimekufikisha wapiMayalla ni kipimo cha Uidiot wa Wasomi wa Tanzania katika kuendekeza Ukabila.
Pongezi zote hizo na kusifia sifia Msukuma mwenzake mwenye vyeti feki.
Pascal Mayala huyu huyu?Kada maarufu wa CCM leo amefurahia kwa bashasha zote.
Amempigia simu Paul Makonda na kumpongeza kwa kupata uteuzi wa heshima.
Mbali na hilo amefurahia CCM kupata mchapa kazi na jembe.
Pascal Mayala huyu huyu? Nchi imeoza kwa unafiki. Nilikutana na Mayala wakati Makonda akiwa mkuu wa mkoa. Mambo aliyonieleza kuhusu Makonda ni mazito. Halafu Mayala huyu huyu anampigia Makonda kumpongeza?Kada maarufu wa CCM leo amefurahia kwa bashasha zote.
Amempigia simu Paul Makonda na kumpongeza kwa kupata uteuzi wa heshima.
Mbali na hilo amefurahia CCM kupata mchapa kazi na jembe.
Wamkumbuke ni mtu mzima naye ajikimu njaa inamtafuna haswaPascal Mayalla ndo chawa mwenye maumivu makali kuliko wote.
Ni sahihi kabisaMayalla ni kipimo cha Uidiot wa Wasomi wa Tanzania katika kuendekeza Ukabila.
Pongezi zote hizo na kusifia sifia Msukuma mwenzake mwenye vyeti feki.
Wanabodi, kwenye bandiko hili Ndugu, Jamaa na Marafiki, Njooni Tumtetee Makonda Dhidi ya Mapapa Wauza Unga Wanaomzushia... nilishauriKada maarufu wa CCM leo amefurahia kwa bashasha zote.
Amempigia simu Paul Makonda na kumpongeza kwa kupata uteuzi wa heshima.
Mbali na hilo amefurahia CCM kupata mchapa kazi na jembe.
Hata baada ya kuteuliwa kuwa Mwenezi wa CCM, Paul Makonda bado anapigwa vita na wasiomtakia mema, wasioitakia mema CCM na wasio itakia mema Tanzania.Wanabodi,
Hili ni bandiko la kuhamasisha a mass mobilization ya kupata kundi kubwa la watu, kuunga mkono kwa dhati, juhudi kubwa zinazofanywa na Mkuu Mhe. Paul Christian Makonda, katika vita mbalimbali,
Hivyo hili ni bandiko la wito kwa kuwaomba ndugu, jamaa na marafiki wa dhati, wanaomjua Makonda kwa karibu na kwa ukweli, njooni tujitokeze kwa wingi, kumtetea Makonda tunayemfahamu dhidi ya uongo na uzushi unaozushwa na kusambazwa na mapapa wauza unga
Ndugu, Jamaa na Marafiki, Tujitokeze Kwa Wingi Kumtetea Makonda
Paskali.
Hata sasa nampongeza Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha , ambao ni Geneva ya Africa.Wanabodi, kwenye bandiko hili Ndugu, Jamaa na Marafiki, Njooni Tumtetee Makonda Dhidi ya Mapapa Wauza Unga Wanaomzushia... nilishauri
Hata baada ya kuteuliwa kuwa Mwenezi wa CCM, Paul Makonda bado anapigwa vita na wasiomtakia mema, wasioitakia mema CCM na wasio itakia mema Tanzania.
Japo Tanzania ni nchi ya vyama vingi, na kwa mujibu wa katiba ya Tanzania, mamlaka kuu ya nchi ni wananchi, kupitia katiba, serikali ya CCM ilifanya mabadiliko ya katiba kinyume cha katiba na kupoka ukuu wa mamlaka kuu ya wananchi, na kuikakabidhi kwa chama cha siasa, ambapo sasa mamlaka Kuu ya nchi ni chama tawala, CCM ndio imeshika hatamu kuongoza serikali, hivyo katika ukuu wa chama, CCM ndio kila kitu, hivyo Makonda kama msemaji wa CCM, kikao cha CCM kinaweza kumwagiza Rais wa JMT atekeleze jambo lolote lililoelekezwa kwenye ilani ya CCM, Katibu Mwenezi ndie msimamizi wa ilani ya CCM, ana mamlaka yote ya kumuamrisha hadi Rais wa JMT, atekeleze ilani ya uchaguzi ya CCM, hivyo Makonda yuko very right kumuamrisha Waziri Mkuu na kumpa ultimatum ya miezi 6 kumaliza migogoro yote ya ardhi ya nchi hii.
Na baada ya miezi 6, kama Waziri Mkuu, Majaliwa Kasim Majaliwa atashindwa kuitatua migogoro yote ya ardhi, atakuwa ni ameshindwa kazi, Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi, itakutana na kumuagiza Rais wa JMT, kumuondoa Waziri Mkuu, kwa kushindwa kazi na kumteua Waziri Mkuu mwingine mwenye uwezo.
Hata ikitokea Rais Samia ameshindwa kutekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM, chama kinaweza kumfuta uanachama na hivyo kupoteza urais!, hivyo Mwenezi wa CCM ni mtu mkubwa sana, kuliko serikali yote ya Tanzania, na hii ndio maana halisi ya Party Supremacy, CCM ndio imeshika hatamu za kuiongoza serikali ya Tanzania .
Hongera sana Mwenezi mpya wa CCM, Paul Makonda, kuiheshimisha CCM, endelea kutoa maagizo na ultimatum kwa viongozi wote kuhusiana na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, wewe ndiye msimamizi wa ilani ya CCM!.
Angalia ilani ya CCM imeelekeza nini kuhusu Bunge la JMT, toa maelekezo kwa Spika with ultimatums, Spika akishindwa kutekeleza Spika anaondolewa!, enzi za Spika Sitta, aliponea chupu chupu kuondolewa, kuna mtu mmoja very powerful ndani ya CCM aitwae "The King Maker" ndie alimuokoa Spika Sitta kwa kumpa maelekezo Mwenyekiti wa CCM, JK, na hii ndio salama yake!.
Makonda angalia ilani ya uchaguzi ya CCM inasema nini kuhusu mhimili wa Mahakama, toa maagizo with ultimatum kwa Jaji Mkuu atekeleze.
Angalia ilani ya uchaguzi inasema nini kuhusu majeshi, ulinzi na usalama, toa maelekezo with ultimatum kwa Amiri jeshi Mkuu na kwa Mkuu wa majeshi, IGP , etc.
Ila kwa nafasi ambazo sio za kichama kama Jaji Mkuu, Mkuu wa Majeshi, CAG, Mwenyekiti wa NEC, Msajili wa Vyama vya Siasa, Wakuu wa vyombo vya Ulinzi, Mwenyekiti wa Tume ya Utawala Bora na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma ambao ni wateule wa rais, Paul Makonda anaweza kuwapa maelekezo bila ultimatums kwasababu hawa chama hakiwezi kuwafanya chochote, na badala yake, chama kitampa maelekezo mamlaka yake ya uteuzi ambaye ni Rais wa JMT, awaondoe!.
Kiukweli ninamkubali sana Paul Makonda!, Tangu nilipoanza kumkubali Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
He has never let me down!. Tena niliwahi kushauri Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze... ushauri huu still stands, kwasababu miaka hii 4 ya Mama ni kumalizia awamu ya Magufuli, awamu ya baada ya Magufuli inaanza 2025, ila Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke hivyo you never know with politics, everything is possible!.
Paul Makonda kanyaga mwendo, chapa kazi, kazi iendelee!.
Paskali.
Hii 'audacity' ya kumkosoa mwenyekiti wako wa CCM umeipata wapi ?Ila kwa maoni yangu, hii teua, tengua, hamish, na tumbua ya Rais Samia, is not healthy at all!, it's a sign of weakness mahali!.
Hapa hatuzungumzii habari za chama, hapa tunazungumza habari za nchi, sisi tunaoandika vitu critics ndio tunamsaidia kuliko praise singers!, hii teua tumbua, hamisha hamisha is not healthy at all!. Kuna weakness mahali, na nimesema wazi kabisa openly kuwa Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe mudaHii 'audacity' ya kumkosoa mwenyekiti wako wa CCM umeipata wapi ?