Pre GE2025 Pascal Mayalla amshauri Lissu kutumia jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Asante sana Mkuu Kipara, kipara kipya .
P
 
Wazee kama Hawa wanamchango mdogo Kwa taifa!!
Huyu anasahausahau sana kwani hajui walishakaa na kuyaongea lkn ccm hawawezi uchaguzi huru na hakika?
Hawa wamezoea uchaguzi wa wizi na dhulma na wanajua bilahivyo watapoteza kula yao
 
Hajatuwakilisha yeye katutaja tuu atuwakilishe kwani tulimtuma akaulize hivyo vihoja? Nani asojua wameshakaa mara nyingi bila mafanikio? Majitu yaliyozoea dhulma ningumu kuacha hata wakoloni walitenda dhulma lkn waliona kuwa nihaki yao kuwafanya babuzetu slaves!! Siyo kilakitu hupatikana Kwa maongezi ndiyomana maandamano nihaki kikatiba mtu kasoma be Sheria lkn hamna kitu kichwani kisa kutafuta teuzi
 
KIchekesho cha wanaharakati vidole maandamano haki yao lakini tarehe 23/9/2024 hawa kuonekana!
 
Nimemnafikia nani?

Nitakushukuru sana, kama utanionyesha hata bandiko langu moja tuu la kichawa chawa!.
P

Majibu ya maswali yako👆👆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…