JUA ni Kali Sana
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 1,202
- 1,543
Naunga mkono hojaKuna haja ya kuchukuliwa hatua huyu mtu, vinginevyo tutadhalilika sana, itaonekana jf yote mabwege
Kwani ww unachangia sh ngapi hili jukwa kuwepo hewanikwani wangepungukiwa na nini?..
View attachment 3256194
Wewe una uhakika gani kuwa JamiiForums haijamtuma kuiwakilisha? Kuna taarifa yoyote ya JamiiForums kumkana?Kuna haja ya kuchukuliwa hatua huyu mtu, vinginevyo tutadhalilika sana, itaonekana jf yote mabwege
Hapa katakuwa kamepigwa swali mpaka kanaona nyota nyota!Tangu atoke kwenye hichi kikao 2018 hajawahi kuwa yule Pascal aliyejulikana mwanzo.
Sijui alipewa nini.
View attachment 3256163
Pascal Mayalla mara nyingi kwenye midahalo ya kisiasa umekuwa ukijitambulisha kwamba wewe ni mwakilishi wa JamiiForums.
JamiiForums ipi unayoiwakilisha, ilihali wewe ni kada wa CCM? Je, JamiiForums, ina mrengo wowote wa kisiasa?
Kama unaenda kwenye midahalo hiyo, jitambuloshe kwa jina la taasisi yako ya PRRRR.
Iwapo ukaendelea kufanya utambulisho wa uakilishi wa JamiiForums, kuna watu watakaofanya mambo ya hovyo na kusema nao pia ni wawakilishi wa JF.
Tunaomba Maxence Melo akemee mara moja Jambo hili kwani linafanya JF ionekane ni Mali ya chama cha siasa
Hakuna, kwa upande wa hela sichangii chochoteKwani ww unachangia sh ngapi hili jukwa kuwepo hewani
ImpersonationMnafiki sana huyo jamaa. Halafu anatabia za kichawa sema anajificha ficha
Impersonating as a representative of jamiiforum is a CRIME!Unaandika mengi bila kuwa na point. Siyo mwakilishi wa JF.
Michango ya watu humu JF ni data which in today’s world can be monetized! Data is money.Kwani ww unachangia sh ngapi hili jukwa kuwepo hewani
Mwenyezi Mungu ampe umri mrefu!Brother P ni next level, ni mtu ni muungwana na mwenye upendo mwingi, you can feel it hata kama uko umbali wa kilometa maelfu kutoka alipo
Kuna kujisifia na kujiita mwakilishi. Anapojiita mwakilishi tafsiri yake ni kwamba atakacho kiongea ametumwa na JF akiongeeKwangu sioni tatizo akijisifia kuwa mwana jf.
Alisema bunge ni dhaifu na ni kweli bunge lilikuwa dhaifu kwenye hili nilimuunga mkono jiwe aliingilia bunge hadi akamwambia Ndugai awaadhibu wakosoaji ndani ya bunge halafu awasimamishe kuhudhuria vikao halafu wakitoka huku nje yeye atadili nao na wasiojulikana ambacho ni kikundi kiliasisiwa na yule mwendawazimu wa Chato.Hebu nikumbusheni jamani, hivi alimtukanaje Ndugai huyu mwamba mpaka akasafirishwa kama mzigo kwenda Dodoma?
Mambo yako haya Baba Mark!.... Pascal MayallaUnaonekana una hoja lkn huinyoshi;
Hoja yako ijibu 5W+H
What
Who
When
Where
Why
+
How
kwani lisu anahitaji ushauri wa maccm?Mwandishi wa Habari Pascal Mayalla amshauri Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kutembelea jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati.