Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Sioni shida yoyote kwenye hilo boss.Kuna kujisifia na kujiita mwakilishi. Anapojiita mwakilishi tafsiri yake ni kwamba atakacho kiongea ametumwa na JF akiongee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sioni shida yoyote kwenye hilo boss.Kuna kujisifia na kujiita mwakilishi. Anapojiita mwakilishi tafsiri yake ni kwamba atakacho kiongea ametumwa na JF akiongee
Je ni kweli alitumwa na JF? Huoni kama alipotosha umma?Sioni shida yoyote kwenye hilo boss.
Nimeshangaa mtu Kama Pascal kumshauri Pascal ili swala.Lissu anashinda humu JF ana fake ID yake nikiwaambia mtabaki midomo wazi
Tundu LissuMwandishi wa Habari Pascal Mayalla amshauri Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kutembelea jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati.
Hajatumwa na jf hilo ni kweli, lakini hata akisema ni muwakilishi sioni shida yoyote.Je ni kweli alitumwa na JF? Huoni kama alipotosha umma?
Broo 'P' hafanani nao!kwani lisu anahitaji ushauri wa maccm?
Basi hujaelewa maana ya Neno mwakilishiHajatumwa na jf hilo ni kweli, lakini hata akisema ni muwakilishi sioni shida yoyote.
Kama ulifanyika ulaghai yakajirudia kwenye serikali za mitaa kweli mkuu na heshima zote ulizonazo unaamini ma vegetables watakua tayari kiwepesi bila mashinikizo? Na kwa nini watu wanapokua na madai ya Haki mna term kama vurugu na kuchukulia kama vita? Chama kinachokubalika kinapataje ugumu wakufanya reforms wao siwanauhakika wakukubalika fanyeni reforms wananchi wakawakatae kwenye uchaguzi hauoni vegetables watakua wameshinda kihalali kwa wananchi wameamua? Lakini ushauri kibao mnawaambia CDM mngeutumia hata robo tu kuishauri serikali kikubali mabadiliko ya kweli hamuoneni mngekua mmelisaidia Taifa?Mwandishi wa Habari Pascal Mayalla amshauri Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kutembelea jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati.
Na iwe kama mlivyopanga maana Kikatiba wananchi mnayo haki ya kuandamanaYa kuzuia uchaguzi!
Yule ni chawa wa mama kwani hujuiPascal Mayalla mara nyingi kwenye midahalo ya kisiasa umekuwa ukijitambulisha kwamba wewe ni mwakilishi wa JamiiForums.
JamiiForums ipi unayoiwakilisha, ilihali wewe ni kada wa CCM? Je, JamiiForums, ina mrengo wowote wa kisiasa?
Kama unaenda kwenye midahalo hiyo, jitambuloshe kwa jina la taasisi yako ya PRRRR.
Iwapo ukaendelea kufanya utambulisho wa uakilishi wa JamiiForums, kuna watu watakaofanya mambo ya hovyo na kusema nao pia ni wawakilishi wa JF.
Tunaomba Maxence Melo akemee mara moja Jambo hili kwani linafanya JF ionekane ni Mali ya chama cha siasa
Umenena vyemaKwani mkuu akijatambulisha kama Vegetables anapungukiwa na nini? Basi walau aseme anawakilisha Maonesho ya sabasaba kule ndio kuna mashavu yake kila mwaka
Hakika.Kuna haja ya kuchukuliwa hatua huyu mtu, vinginevyo tutadhalilika sana, itaonekana jf yote mabwege