Pre GE2025 Pascal Mayalla amshauri Lissu kutumia jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Pascal ni mtu muhimu sana likija suala la Taarifa zilizo kuwa Objective.
Hilo la mtu muhimu ni wazo lako lakini kumbuka muhimu kwako si lazima ni muhimu kwangu na kibaya zaidi ni dai la yeye kutuwakilisha JF. Akisema anakuwakilisha wewe Nkaburu wala sitakuwa na neno.
Nevertheless, you're right, this qualifies as a Cyber Bullying Rally
Sijui hata kama unajua maana ya cyber bullying kwani kama ni hivyo yeye ndiye mtuhumiwa namba moja kwa kudai anatuwakilisha akijua fika kuwa hatujawahi kumpa ruhusa ya kutuwakilisha QED!
 
Hilo la mtu muhimu ni wazo lako lakini kumbuka muhimu kwako si lazima ni muhimu kwangu na kibaya zaidi ni dai la yeye kutuwakilisha JF. Akisema anakuwakilisha wewe Nkaburu wala sitakuwa na neno.
Nimesema hv, Pascal ni mtu muhimu, Likija suala la Taarifa zilizokuwa Objective. Nini hapo hukukielewa?

unaeza tafsiri, umuhimu wake wa kuleta taarifa zilizo objective unahitajiwa sana hapa JF, hayo mengineo nakuachia.
Sijui hata kama unajua maana ya cyber bullying kwani kama ni hivyo yeye ndiye mtuhumiwa namba moja kwa kudai anatuwakilisha akijua fika kuwa hatujawahi kumpa ruhusa ya kutuwakilisha QED!
Bac nieleweshe tu. Maana ya Cyber Bullying ni nini? Kwani sioni uhusiano wowote ule kwa ginsi ulivounga.🙏
 
Mwandishi wa Habari @Pascal Mayalla amshauri Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kutembelea jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati.
Lissu "kutembelea jukwaa la JamiiForum" wakati akipata nafasi ya kufanya hivyo ni sahihi. Lakini ni sahihi pia kumshauri kuwa kuna takataka nyingi sana JF zinazojazwa humo na watu kama huyo Pascali zisizokuwa na maana yoyote.
Huyu anaye jiita mwandishi, na sasa kujipachika uwakilishi wa JF hajawahi kutoa mchango wowote wa maana katika jukwa hili la JF.
Kwa hiyo, Tundu Lissu, au wawakilishi wa chama hicho wakiamua kuja humu ni muhimu wajue kuwa itakuwa ni kupoteza muda na michango ya aina ya anayo itoa huyu mtu wa CCM.
Kwanza CCM wenyewe hawaoni mchango wowote wa maana toka kwake, mbali ya kujaza takataka tu na kupotezea wasomaji muda.
 
Eti kada wa ccm anamshauri mwenyekiti wa chadema jinsi ya kufanya siasa yan vile mwanachama ya yanga amshauri mwenyekiti wa simba namna ya kuendesha timu hakika taifa hili limejaa matahira sn huyu mayala kwa utumbo huo si wampeleke mbuga za wanyama awe kivutio cha watalii tu
 
Sikujua kwamba wewe ni Mtendaji Mwandamizi wa JF.
Samahani sana Nkaburu, naona nimefanya kosa kubwa sana ambalo nalijutia si kidogo. Kwa kawaida yangu mimi ni mwangalifu sana hivyo najizuia sana kuwa na mnakasha na watu aina yako.

Nilichosahau ni kwamba JF ya sasa haina tofauti na kokoro...linazoa tu bila kuchagua. Zamani ulikuwa huwezi kujiunga humu bila kwanza kupiga hodi na kusubiri kukaribishwa.

Ukikaribishwa mezani ilikuwa lazima unawe kwanza lakini siku hizi uongozi wa JF haujali tena taratibu hizi...wapita njia hawahitaji kupiga hodi wala kunawa, imekuwa kawaida kula bila kunawa,
 
Pascal Mayalla mara nyingi kwenye midahalo ya kisiasa umekuwa ukijitambulisha kwamba wewe ni mwakilishi wa JamiiForums.
Mkuu Tajiri Mkuu, TAJIRI MKUU WA MATAJIRI , kwanza ni kweli, mimi kwenye baadhi ya matukio, huwa najitambulisha kama ni member wa jf, lakini sijawahi kujitambulisha kama mwakilishi wa jf!.
JamiiForums ipi unayoiwakilisha, ilihali wewe ni kada wa CCM? Je, JamiiForums, ina mrengo wowote wa kisiasa?
Kwa vile nimesema huwa najitambulisha kuwa mimi ni mwana jf, kujitambulisha mwana jf sio kuiwakilisha jf!.
Kama unaenda kwenye midahalo hiyo, jitambuloshe kwa jina la taasisi yako ya PRR
Siku zote najitambulisha
  1. kwanza jina, jina: Pasco Mayalla
  2. Fani:Mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, nikitumika kupitia PPR.
  3. Pia ni member wa JF
Sijawahi hata mara moja, kujitambulisha kuwa mimi ni mwakilishi wa jf!.
Iwapo ukaendelea kufanya utambulisho wa uakilishi wa JamiiForums, kuna watu watakaofanya mambo ya hovyo na kusema nao pia ni wawakilishi wa JF.
Hapa unamaanisha
nisijitambulishe kama mwana jf, ili nikifanya jambo la hovyo, nisiichafue jf kuonekana ina watu wa hovyo!. Hili neno, nitalizingatia!.
Tunaomba Maxence Melo akemee mara moja Jambo hili kwani linafanya JF ionekane ni Mali ya chama cha siasa
Max amekusikia.
NB. Kama hoja hii ni swali langu kwa TAL jana, wala sijajitambulisha kama jf, nimemshauri TAL na Chadema, wasome jf, wapokee ushauri wa jf, utawasaidia sana!.
P
 
Samahani sana Nkaburu, naona nimefanya kosa kubwa sana ambalo nalijutia si kidogo. Kwa kawaida yangu mimi ni mwangalifu sana hivyo najizuia sana kuwa na mnakasha na watu aina yako.

Nilichosahau ni kwamba JF ya sasa haina tofauti na kokoro...linazoa tu bila kuchagua. Zamani ulikuwa huwezi kujiunga humu bila kwanza kupiga hodi na kusubiri kukaribishwa.

Ukikaribishwa mezani ilikuwa lazima unawe kwanza lakini siku hizi uongozi wa JF haujali tena taratibu hizi...wapita njia hawahitaji kupiga hodi wala kunawa, imekuwa kawaida kula bila kunawa,
Hapa mkuu sidhani kama amekuelewa! Ni sawa na Diblo Dibala ampigie mbuzi Solo akitegemea acheze
 
Mkuu Tajiri Mkuu, TAJIRI MKUU WA MATAJIRI , kwanza ni kweli, mimi kwenye baadhi ya matukio, huwa najitambulisha kama ni member wa jf, lakini sijawahi kujitambulisha kama mwakilishi wa jf!.

Kwa vile nimesema huwa najitambulisha kuwa mimi ni mwana jf, kujitambulisha mwana jf sio kuiwakilisha jf!.

Siku zote najitambulisha
  1. kwanza jina, jina: Pasco Mayalla
  2. Fani:Mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, nikitumika kupitia PPR.
  3. Pia ni member wa JF
Sijawahi hata mara moja, kujitambulisha kuwa mimi ni mwakilishi wa jf!.

Hapa unamaanisha sijitambulishe kama mwana jf, ili nikifanya jambo la hovyo, nisiichafue jf kuonekana ina watu wa hovyo!. Hili neno, nitalizingatia!.

Max amekusikia.
NB. Kama hoja hii ni swali langu kwa TAL jana, wala sijajitambulisha kama jf, nimemshauri TAL na Chadema, wasome jf, wapokee ushauri wa jf, utawasaidia sana!.
P
Life is learning... Bro nakushukuru sana kwa kuchukua siku tatu kuja na jawabu. Hakika uko special
 
Samahani sana Nkaburu, naona nimefanya kosa kubwa sana ambalo nalijutia si kidogo. Kwa kawaida yangu mimi ni mwangalifu sana hivyo najizuia sana kuwa na mnakasha na watu aina yako.

Nilichosahau ni kwamba JF ya sasa haina tofauti na kokoro...linazoa tu bila kuchagua. Zamani ulikuwa huwezi kujiunga humu bila kwanza kupiga hodi na kusubiri kukaribishwa.

Ukikaribishwa mezani ilikuwa lazima unawe kwanza lakini siku hizi uongozi wa JF haujali tena taratibu hizi...wapita njia hawahitaji kupiga hodi wala kunawa, imekuwa kawaida kula bila kunawa,
Makosa makubwa ya kiufundi ya Maxence Melo and JamiiForums team.

Warudi kwenye misingi, za chini ya kapeti, Rwanda wanaotumia JF kuipeleleza Tz
 
Kuna wakati JF ilionekana kuwa tishio kwa hawa wavuruga nchi, wakaamua kuleta kikosi chao cha kuisambaratisha waliposhindwa kwa kutumia vitisho na kutoweza kuwatambua waliokuwa na michango kinzani kwao.
Kwa kiasi fulani walifanikiwa, kwani wachangiaji makini wengi waliamua kutochangia tena kutokana na wapuuzi kama huyo uliyemjibu na huyo Pakali ambaye ukisoma maandiko yake yote ni takataka tupu.
 
Eti kada wa ccm anamshauri mwenyekiti wa chadema jinsi ya kufanya siasa yan vile mwanachama ya yanga amshauri mwenyekiti wa simba namna ya kuendesha timu hakika taifa hili limejaa matahira sn huyu mayala kwa utumbo huo si wampeleke mbuga za wanyama awe kivutio cha watalii tu
True.
Malaria 2, ChawaWaMama, Pascal Mayalla, Tlaatlaah and the like
 
Tafsiri yake kisheria ni kwamba, nina haki ya kuhukumiwa kwa ninacho kiongea
Nope tafsiri yake ki Jamii Forums, ni kwamba huyu aliyepo hapa sisi kama Platform tumehakikisha kwamba ni yeye ndiye, na sio mtu tu kaamua kujiita Trump wakati ni Bakari au hata kama ni Trump sio yule USA Trump (kwahio wanaweza wakakushauri uongezee Trump wa Mabwepande)
 
Makosa makubwa ya kiufundi ya Maxence Melo and JamiiForums team.

Warudi kwenye misingi, za chini ya kapeti, Rwanda wanaotumia JF kuipeleleza Tz
Mstari huo wa pili, inawezekana ikawa kweli; lakini una utata mkubwa.
Tusije tukawa vichaa kwa kujihisi namna hii kila mara. JF kuna habari gani za kuitishia Tanzania?
Mbona habari nyingi hapa JF zimo magazetini na kwingineko ambako hao hao Warwanda wanaweza kuzipata kirahisi!
Pia unasahau kwamba nchi hii tunao watu wengi sana toka nchi hiyo kwenye nafasi nyeti kabisa ambao wanaweza kupenyeza taarifa ambazo hata JF hazipo.

Tumepoteza mwelekeo kama nchi, ndiyo maana sasa tunaona kila kitu ni tishio kwetu.
 
Life is learning... Bro nakushukuru sana kwa kuchukua siku tatu kuja na jawabu. Hakika uko special
Kwa vile jf ya sasa ni kama kokoro, mimi huwa sijibu kila utumbo unaopostiwa humu jf kunihusu, jana ulipoposti utumbo huu, ukinituhumu kujiita mwakilishi wa jf, kwa vile mimi sijawahi kujiita mwakilishi wa jf popote, I just ignored huo utumbo wako,
na leo nimekujibu kwasababu tuu post yako imeletwa humu kwenye bandiko hili. Mimi na post za utumbo utumbo, tuko mbalimbali!, ukiniletea utumbo, utakula like yangu kuku notify kuwa nimekusoma, that's it, lakini huwa sijibu post za utumbo utumbo!.
P
 
Mwandishi wa Habari Pascal Mayalla amshauri Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kutembelea jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati.

Mkuu Wa Ufukwe, Waufukweni , thanks for this, ni kweli nimemshauri TAL na Chadema, waingie jf kujichukulia ushauri wa bure. Chadema needs help.
P
 
Ushauri wa kutembelea JF ni mzuri kwani kuna madini mengi sana huku.

Nje ya mada: Paschal anaongea huku ana move mikono hivyo kufanya mic isivute sauti vizuri.
Asante, your observations noted.
Thanks.
P
 
Back
Top Bottom