Mkuu Tajiri Mkuu,
TAJIRI MKUU WA MATAJIRI , kwanza ni kweli, mimi kwenye baadhi ya matukio, huwa najitambulisha kama ni member wa jf, lakini sijawahi kujitambulisha kama mwakilishi wa jf!.
Kwa vile nimesema huwa najitambulisha kuwa mimi ni mwana jf, kujitambulisha mwana jf sio kuiwakilisha jf!.
Siku zote najitambulisha
- kwanza jina, jina: Pasco Mayalla
- Fani:Mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, nikitumika kupitia PPR.
- Pia ni member wa JF
Sijawahi hata mara moja, kujitambulisha kuwa mimi ni mwakilishi wa jf!.
Hapa unamaanisha sijitambulishe kama mwana jf, ili nikifanya jambo la hovyo, nisiichafue jf kuonekana ina watu wa hovyo!. Hili neno, nitalizingatia!.
Max amekusikia.
NB. Kama hoja hii ni swali langu kwa TAL jana, wala sijajitambulisha kama jf, nimemshauri TAL na Chadema, wasome jf, wapokee ushauri wa jf, utawasaidia sana!.
P