Pre GE2025 Pascal Mayalla amshauri Lissu kutumia jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati

Pre GE2025 Pascal Mayalla amshauri Lissu kutumia jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Pascal Mayalla mara nyingi kwenye midahalo ya kisiasa umekuwa ukijitambulisha kwamba wewe ni mwakilishi wa JamiiForums.

JamiiForums ipi unayoiwakilisha, ilihali wewe ni kada wa CCM? Je, JamiiForums, ina mrengo wowote wa kisiasa?

Kama unaenda kwenye midahalo hiyo, jitambuloshe kwa jina la taasisi yako ya PRRRR.

Iwapo ukaendelea kufanya utambulisho wa uakilishi wa JamiiForums, kuna watu watakaofanya mambo ya hovyo na kusema nao pia ni wawakilishi wa JF.

Tunaomba Maxence Melo akemee mara moja Jambo hili kwani linafanya JF ionekane ni Mali ya chama cha siasa

Huyu mzee jau sana. anazeeka vibaya. Nimemsikia nikamshangaa sana.
 
Hebu nikumbusheni jamani, hivi alimtukanaje Ndugai huyu mwamba mpaka akasafirishwa kama mzigo kwenda Dodoma?
Alisema bunge ni dhaifu na ni kweli bunge lilikuwa dhaifu kwenye hili nilimuunga mkono jiwe aliingilia bunge hadi akamwambia Ndugai awaadhibu wakosoaji ndani ya bunge halafu awasimamishe kuhudhuria vikao halafu wakitoka huku nje yeye atadili nao na wasiojulikana ambacho ni kikundi kiliasisiwa na yule mwendawazimu wa Chato.
 
Back
Top Bottom