Uchaguzi 2020 Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata

Uchaguzi 2020 Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata

Kisa kasemwa msukuma mwenzako ndiyo mapovu yoote hapa jamvini?
Huo mwaka 1994 ndipo ITV ilipoanzishwa, na hata baadhi ya mikoa ilikuwa haikamati. Vipindi kuanza kuchanganya (kikiwamo KITIMOTO) ni miaka mingine mbele ya 1994. Umeteleza kusema miaka 20, kubali tu haukuwa na hoja pale
 
Ogopa sana njaa mkuu
Pasco akizidiwa kura na Mashinji au Mwijaku nitacheeeeka!

Uchaguzi huu umeonyesha ni jinsi gani watu walivyo na njaa.

Jofrey Mizengo Pinda na yeye ameshakarishwa chini na mwanamke huko Katavi.

Kumbe mzee Pinda zile siiifa zote kwa mkulu ilikuwa ni kumtafutia ulaji mwanaye Jofrey.

Yajayo yanahuzunisha.
 
Jamaa yangu Pascal Mayalla lazima amwagwe kwa kishindo uchaguzi maoni CCM Kawe baada ya kujiita KITIMOTO eti kwa vile aliendesha kipindi cha KITIMOTO miaka zaidi ya 20 iliyopita wakati wengi walikuwa hawajazaliwa miongoni mwa wapigakura humo ukumbini.

Nani mshauri wa huyu mtaka ubunge aliyempotosha? Mayalla asije ambulia kura 2 akatulilia hapa JF
Ahadi za kugawa hela si za maendeleo ni kutaka tu kuwahadaa watu after all 10M kwa kata ni kitu gani?
 
Tumia akili kidogo basi! Kama kipindi kilikuwepo 1994 ni miaka 26 iliyopita. Mwenye miaka 36 hajui hata maudhui ya kipindi kile maana walikuwa na miaka 10 tuu, jee umeelewa? Maana nimesema zaidi ya miaka 20
Kwa akili yako ya ufipa unadhani mtu aliyepo kwenye kamati ya siasa ya wilaya asifahamu kipidi cha kitimoto?? Tafadhali sana.
 
Akipata hata hizi mbili si atatamba sana na kujiona great thinker,bora wampe cha mbavu akafie kwao usukumani.
 
Jamaa yangu Pascal Mayalla lazima amwagwe kwa kishindo uchaguzi maoni CCM Kawe baada ya kujiita KITIMOTO eti kwa vile aliendesha kipindi cha KITIMOTO miaka zaidi ya 20 iliyopita wakati wengi walikuwa hawajazaliwa miongoni mwa wapigakura humo ukumbini.

Nani mshauri wa huyu mtaka ubunge aliyempotosha? Mayalla asije ambulia kura 2 akatulilia hapa JF
Yule alisoma degree kwa miaka 17.Wala usishangae.
 
Jamaa yangu Pascal Mayalla lazima amwagwe kwa kishindo uchaguzi maoni CCM Kawe baada ya kujiita KITIMOTO eti kwa vile aliendesha kipindi cha KITIMOTO miaka zaidi ya 20 iliyopita wakati wengi walikuwa hawajazaliwa miongoni mwa wapigakura humo ukumbini.

Nani mshauri wa huyu mtaka ubunge aliyempotosha? Mayalla asije ambulia kura 2 akatulilia hapa JF
Hii ni njia ya kupalilia ka uteuzi ikiwa JPM atashinda. Pasco is visionary.
 
Sijasikia hata kura moja ikitajwa mpaka muda huu tangu waanze kuhesabu.

Nahisi na yeye ameuvaa mtego wa Paul Makonda, zaidi ya kua na kadi (kama anayo) hajawahi kua active kwa wanaKawe.

Hivyo kinachotokea ni kwamba anajuana higher ups zaidi kuliko wale ambao walitakiwa kumpigia kura.

Kinachotokea ni kwamba ama atembeze mpunga (nahisi ndicho Gwajima kafanya) au angetumia kujiimarisha na kugombea 2025 kama Tulia alichofanya.

Either way mi sioni tatizo.
 
Back
Top Bottom