Ukipitia nyuzi zake katika Jukwaa hili utayapata majibu ya maswali kuhusu nini kilijiri wakati wa Ile ajali na pia Aina ya pikipiki aliyokuwa akiitumia huyu umuitae Nyamaume.Eeh, 2008?. Mkitumia simu za aina gani kuingia JF. Nakumbuka miaka hiyo ndiyo kwanza nipo form 3 na simu zikizotamba ni Nokia 6030, express e.t.c.
Mwisho, naomba model ya pikipiki akiyotumia huyu Nyamaume.
Duuuh!Nakumbuka haijapita wiki tangu ile thread ya Pascal kuhusu kuendesha pikipiki isiyo na namba ijadiliwe hapahapa. Na wengi tulipendekeza ile thread ifungwe kwani ilikuwa haina maslahi kwa jamii.
Ila pikipiki si usafiri wa kuamini sana kwenda umbali mrefu kama huo wa Dar -Dodoma, ni karibu KM 500.
Pole Bro Pascal, get well soon!
Alishapona ,ishu ya 2008 hiiDuuuh!
Pole sana Kwa Brother....500km?
Alikuwa shujaa enzi hizoAlishapona ,ishu ya 2008 hii
Huyu sio PMMdau Mpoki Bukuku wa Mwananchi na The Citizen anatujulisha kwamba Mwandishi wa siku nyingi na mtangazaji ambaye pia ni mjasiliamali ndugu yetu Pascal Mayalla amepata ajali mbaya ya pikipiki yake alipokuwa akisafiri kwenda mkoani Mkoani Dodoma.
Bw Pascal Mayalla amepata majereha sehemu mbalimbali za mwili ikiwa namkono ambao umepoteza mawasiliano na sehemu nyingine za mwili.JF hii inapenda kumpa pole ndugu yetu paschal Mayalla,apate Nafuu ya haraka.
Post ya zamani hii chief....Pole sana jamaa yetu
Tunakuombea quick recovery 🙏
Ila pikipiki haina urafiki
Halafu barabara zetu hizi
Mkuu achana na huo usafiri kabisa
Nyie waandishi kila leo mnaandika ajali za mabasi, malori mpaka treni na boda
Hawasalimiki wenye magari
Ukapiga ruti ndefu aisee
Pole sana, sisemi kwa ubaya lakini you are too old for this
Hivi umesoma kwamba hili tukio unalilitolea pole leo ni la lini?Pole sana jamaa yetu
Tunakuombea quick recovery 🙏
Ila pikipiki haina urafiki
Halafu barabara zetu hizi
Mkuu achana na huo usafiri kabisa
Nyie waandishi kila leo mnaandika ajali za mabasi, malori mpaka treni na boda
Hawasalimiki wenye magari
Ukapiga ruti ndefu aisee
Pole sana, sisemi kwa ubaya lakini you are too old for this
Rejesha lile jina la zamani mkuuKumbukumbu mbaya sana kwa paskali.....ambayo imesababisha mkono kupata mushkeli.,...Pole sana.
Lipi Mkuu?Rejesha lile jina la zamani mkuu
kwa sasa kuna hawa vijana wa upinzani wao ni kuqute stinks of manureWakati huo hata JF nilikuwa siijui.