Pascal Mayalla apata ajali.....

Pascal Mayalla apata ajali.....

Eeh, 2008?. Mkitumia simu za aina gani kuingia JF. Nakumbuka miaka hiyo ndiyo kwanza nipo form 3 na simu zikizotamba ni Nokia 6030, express e.t.c.

Mwisho, naomba model ya pikipiki akiyotumia huyu Nyamaume.
Ukipitia nyuzi zake katika Jukwaa hili utayapata majibu ya maswali kuhusu nini kilijiri wakati wa Ile ajali na pia Aina ya pikipiki aliyokuwa akiitumia huyu umuitae Nyamaume.
 
Nakumbuka haijapita wiki tangu ile thread ya Pascal kuhusu kuendesha pikipiki isiyo na namba ijadiliwe hapahapa. Na wengi tulipendekeza ile thread ifungwe kwani ilikuwa haina maslahi kwa jamii.

Ila pikipiki si usafiri wa kuamini sana kwenda umbali mrefu kama huo wa Dar -Dodoma, ni karibu KM 500.


Pole Bro Pascal, get well soon!
Duuuh!
Pole sana Kwa Brother....500km?
 
Mdau Mpoki Bukuku wa Mwananchi na The Citizen anatujulisha kwamba Mwandishi wa siku nyingi na mtangazaji ambaye pia ni mjasiliamali ndugu yetu Pascal Mayalla amepata ajali mbaya ya pikipiki yake alipokuwa akisafiri kwenda mkoani Mkoani Dodoma.

Bw Pascal Mayalla amepata majereha sehemu mbalimbali za mwili ikiwa namkono ambao umepoteza mawasiliano na sehemu nyingine za mwili.JF hii inapenda kumpa pole ndugu yetu paschal Mayalla,apate Nafuu ya haraka.
Huyu sio PM
 
Pole sana jamaa yetu
Tunakuombea quick recovery 🙏
Ila pikipiki haina urafiki
Halafu barabara zetu hizi
Mkuu achana na huo usafiri kabisa
Nyie waandishi kila leo mnaandika ajali za mabasi, malori mpaka treni na boda
Hawasalimiki wenye magari
Ukapiga ruti ndefu aisee
Pole sana, sisemi kwa ubaya lakini you are too old for this
Post ya zamani hii chief....
 
Pole sana jamaa yetu
Tunakuombea quick recovery 🙏
Ila pikipiki haina urafiki
Halafu barabara zetu hizi
Mkuu achana na huo usafiri kabisa
Nyie waandishi kila leo mnaandika ajali za mabasi, malori mpaka treni na boda
Hawasalimiki wenye magari
Ukapiga ruti ndefu aisee
Pole sana, sisemi kwa ubaya lakini you are too old for this
Hivi umesoma kwamba hili tukio unalilitolea pole leo ni la lini?
Hii ilikuwa miaka mitano kabla haujajiunga JF.
 
Back
Top Bottom