johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Anayo!Je, Paskali ana hoja?
Ahsante bwashee!Bwana mbatizwajii umerudii..karibu sanaaa...
....UCHUMI KWANZAAAA!!!Paschal akili kubwaa, uchumi kwanza.
chadema mwambieni mbowe ukweli kwamba mnasimamia misingi ya demokrasia ilio ya kweli, msimuogope! haya mambo ya anaachia ngazi atakapochoka yashapitwa na wakati nyerere alikua wa mwisho kufanya hiviMwandishi wa habari nguli nchini na mwanasheria Pascal Mayalla amesema Chadema wanapaswa kurekebisha kwanza katiba ya chama chao kabla ya kukimbilia kudai katiba mpya ya nchi...
Mwandishi wa habari nguli nchini na mwanasheria Pascal Mayalla amesema Chadema wanapaswa kurekebisha kwanza katiba ya chama chao kabla ya kukimbilia kudai katiba mpya ya nch...
..hana hoja kwasababu sio Chadema peke yao wanaodai katiba mpya.Je, Paskali ana hoja?
Pasco huyu huyu mbele ya wajumbe akaishia kupata kura 1 moja ndio unamuita nguli? Afu waambie mataahira, misukule na MATAGA wenzio kuwa katiba sio takwa la sisiemu, ni hitaji la wananchi.Mwandishi wa habari nguli nchini na mwanasheria Pascal Mayalla amesema Chadema wanapaswa kurekebisha kwanza katiba ya chama chao kabla ya kukimbilia kudai katiba mpya ya nchi
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Yeye mwenyewe yuko mubashara runingani!Pascal Mayalla kayasemea wapi hayo? Ameshindwa nini mwenyewe kuyapandisha hayo hapa jukwaani?
Yaani nimecheka mpaka nikakaa Chini kwa mtu huyu anavyo hangaika ili kupata teuzi.Mwandishi wa habari nguli nchini na mwanasheria Pascal Mayalla amesema Chadema wanapaswa kurekebisha kwanza katiba ya chama chao kabla ya kukimbilia kudai katiba mpya ya nchi...
Amesema katiba ya Chadema ni mbovu, tengenezeni mpya!Pasco huyu huyu alieonekana takataka mbele ya wajumbe akaishia kupata kura 1 moja ndio unamuita nguli? Afu waambie mataahira, misukule na MATAGA wenzio kuwa katiba sio takwa la sisiemu, ni hitaji la wananchi.