Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Wewe mnafiki na huyo uliyemtaja kwa kiwango cha makinikia.
Mkubsli mkatae, kwa heri ams kwa shari katiba mpya lazima
Mkubsli mkatae, kwa heri ams kwa shari katiba mpya lazima
Mwandishi wa habari nguli nchini na mwanasheria Pascal Mayalla amesema Chadema wanapaswa kurekebisha kwanza katiba ya chama chao kabla ya kukimbilia kudai katiba mpya ya nchi.
Pascal amesema Chadema hawana fedha za kuitisha kikao cha kujadilu rufaa za wabunge wake wa viti maalumu sasa fedha za kuendeshea " harakati " za kudai katiba ya nchi watazitoa wapi?
Mayalla amewataka Chadema wamwache mama Samia atengeze uchumi kwanza kwa sababu katiba mpya haiko katika Ilani ya uchaguzi ya 2020/35.
Nawasalimu kwa jina la JMT!