Pascal Mayalla: CHADEMA watengeneze kwanza Katiba mpya ya chama chao kabla ya kukimbilia katiba ya nchi, wawatendee haki wabunge 19

Pasco ametema MADINI YA ALMASI mno........

Chadema ni "The Comedy"......

Katiba yao INAWASHINDA....leo waiweze ya NCHI ?!!!

Hivi hawa akina "Jangala" wanashindwaje kuwaiga wenzao CCM wenye katiba LULU?!!!

#KaziIendelee
Katiba yao inasemaje kwanza? Isije kuwa na wewe fuata upepo kama mataahira wenzio
 
Mwandishi wa habari nguli au mwandishi wa habari njaa?
 
Nchi imefiwa lakini kutwa mamtu majinga tu yanahangaika sijui katiiba sijui nn pumbavu kabisa
 
Umetema madini sana mwamba. Inashangaza sana kuona sisiemu ndio wana uchungu sana na chadema kuliko wana chadema wenzao.
 
Huyu jamaa ni mnafiki mkubwa sana. Tangu lini amekuwa msemaji wa Chadema? Yule dhalimu mwendazake alifuata katiba ipi alipowafukuza ccm Binti Simba na Membe? Mbona hakumwambia dhalimu magufuli kuhusu katiba ya maccm!?

 
Pasco ametema MADINI YA ALMASI mno........

Chadema ni "The Comedy"......

Katiba yao INAWASHINDA....leo waiweze ya NCHI ?!!!

Hivi hawa akina "Jangala" wanashindwaje kuwaiga wenzao CCM wenye katiba LULU?!!!

#KaziIendelee
Swala la kitaba ni namna tu ya kutafuta political platform na wao wasikike ,kwamba wapo maana amna chochote cha maana cha kuongea kipindi hiki
 
Katiba ya chadema sisi kama raia inatuhusu nini tunataka katiba mpya sio kila mwanachi ni chadema wengine hatu vyama vya siasa
 
Na aliyekwaambia anatkaa katiba mpya Kama si ninyi ili tu mpate kiki ya kisiasa
 
Ujinga ni kudhani manufaa ya katiba mpya ni CDM pekee Yao huku tumeona jinsi madhara ya katiba hii yalivyokuwa kwa Jiwe akiwa madarakani
Rai yangu tuungane never know kesho tutaamkaje tupiganie katiba ss iwe inamfunga kila mtu

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…