Pascal Mayalla: CHADEMA watengeneze kwanza Katiba mpya ya chama chao kabla ya kukimbilia katiba ya nchi, wawatendee haki wabunge 19

Wewe mnafiki na huyo uliyemtaja kwa kiwango cha makinikia.
Mkubsli mkatae, kwa heri ams kwa shari katiba mpya lazima
 
Two wrongs don't make a right
 
Huyu umri umeshamtupa na akili nazo zimemhama. Anaongea ujinga ujinga gani huu? Hivi kweli Paschal na wewe si ku hizi unaongea vitu bila kujiridhisha halafu unajiita mwandishi kweli?

Kimsingi ukimuona mwezio hastahili kudai katiba mpya wewe utakua chizi.
 

Mayalla kwa kisukuma ni njaa- by Mwendazake
 
Hayo ni mawazo yako. Katiba ya chama sio lazima ifanane na ya taifa. Hata ibara ya 113 ya Katiba ya CCM ya 2017 haitoi ukomo wa mwanachama kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM. Inasema kuwa atadumu kwa miaka mitano na ataweza kuchaguliwa tena bila kutoa ukomo wa kuchaguliwa tena. Mabadiliko unayoyaona ni kutoka na tamaduni ya Rais kuwa pia Mwenyekiti ingawa Mwalimu alikawia sana kumuachia uenyekiti Mwinyi. Kwa sababu hiyo, inabidi uwaambie CCM nao wabadili Katiba yao.

Katiba kwa jinsi ilivyo haitoi haki sawa kwa vyama vyote vya siasa na inategemea mno utashi wa aliye Rais ili haki ifanyike. CHADEMA wana haki na wajibu wa kudai Katiba mpya ili yaliyo wapata yasiwapate tena.

Amandla...
 
Huyu mayalla bado anatetea legacy ya shujaa
 
Katiba yao inasemaje kwanza? Isije kuwa na wewe fuata upepo kama mataahira wenzio
We hata picha hauoni Mwenyekiti amewekewa superglue kwenye kiti then mnataka kutuaminisha nyie ni wa demokrasia etii?! Labda mseme nyie ni wa democrazy
 
Ila Pasco nchi ipo kabla ya Chama, kama nchi ina katiba mbovu basi hata vyama vitakavyozaliwa humo nchini vitakua na katiba mbovu...wazungu wanasema when in rome, do as the romans do !
 
Go to hell Mayala! Chadema ina katiba bora kupita vyama vyote nchi hii.
 
Ukomo wa nafasi ya mwenyekiti uliondolewa strategicay kutokana na mazingira. Nachojua mie utaondolewa tu mazingira yakibadilika. Kuhusu Samia kupewa muda utakuwa umeamua tu kujitoa ufahamu pia. CCM haitaki na haitakubali katiba ya wananchi
 
Duh,wasomi njaa wetu.
Tanzania bado xana,kuwa mwanachama Wa Ccm sio ndo ukubaliane na ujinga ujinga.
Hivi mnadhani Ccm ndo Mwenye hii nchi tu!.Uzee mbaya,mungu nisaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…