Pascal Mayalla: CHADEMA watengeneze kwanza Katiba mpya ya chama chao kabla ya kukimbilia katiba ya nchi, wawatendee haki wabunge 19

Mtu anayekaribia umri wa miaka 70 hawezi kuteuliwa hata akijipendeza kwa kiwango cha kudhalilika
 
Naomba nichangie hoja yako ya pili.. covid-19.
Katiba ya Chama inataka migogoro ndani ya Chama imalizwe chamani.
Katiba imetoa mwanya wa kukata Rufaa.
Katiba imetoa muda wa kusikilizwa Rufaa
Katiba imetoa muda wa vikao vya Baraza kuu kufanyika
Toka wakate Rufaa December mwaka jana, huu Ni mwezi wa 7 Rufaa yao haijasikilizwa..
Kwa Nini!??
Jeee wanatendewa haki mpaka Leo hawajui wameshindwa au wameshinda!? Au matokeo yanajulikana!?
Hapa inaibuka hoja mpya;
KUMBE HATA KAMA MNA KATIBA MPYA NZURI LKN KAMA VIONGOZI HAWANA UTASHI WA KUISIMAMIA NI KAZI BURE.
 
Kilicho na manufaa kwa umma ni katiba ya nchi au katiba ya chama, unahitaji pesa kiasi gani kuchapisha na kuzindua rasimu ya katiba ya warioba, mpuuzeni huyo mchumia tumbo.
 
CHADEMA kwa sasa wangekazania kufuatwa kwa Katiba iliyopo kuliko kuipigia kelele Katiba mpya. Ni swala ambalo linahitaji muda. Na Mh Rais kasema atalifanyia kazi miaka ijayo.
Katiba ya sasa ndio inayosababisha katiba nzima isifuatwe. Unaonaje hii
 
Katika interview yote aliizungumza chadema kwa asilimia ngapi
 
Uchumi umeshindikana kutengenezwa kwa miaka yote 60 ya ccm ndio Samia anategemea muujiza?
Chadema kutokuwa na pesa haituhusu maana sii chadema wanaoshikilia hazina yetu.
Hazina ya pesa zetu za kodi zinashikiliwa na maccm hivyo pesa sii mali ya kiongozi ni mali ya wananchi.
Wananchi kwa sasa tunataka katiba yetu maana katiba iliyopo ni ya watawala na haina mchango wa ushiriki wa wananchi.
Haja ya katiba ya wananchi iko juu sana kwa sasa na sii rahisi kuizuia kwa propaganda zile zile za 47 kama zilivyo hoja za mayalla.
 
mnafiq tu huyo
 
Aaa huyo Paskali ameangukia
Labda watamwona safari hii.

Sikumbuki vizuri muda mrefu, ila kama ni yeye ndio waliomuweka kitimoto Rais Salmin Amour kwenye kile kipindi basi huyu jamaa mkali ila ana nuks.
 
Huyo Pasco alijiondolea uhalali wa kuaminiwa na kuheshimiwa. Aliingia chaka la ukabila kumshabikia dikteta mwendazake aliyetuharibia nchi yetu. Jambo lingine huyu Mzee wa njaa analikwepa makusudi ni kuwa hitaji la Katiba Mpya siyo la Chadema pekee, bali Watanzania wenye mapenzi mema na Taifa hili. Naona frustration za kukosa teuzi na ulevi uliokithiri zimeshamharibu akili yuko kama mwezi mchanga tu.
 
Kweli kabisa.
Pamoja na bando la Katiba Mpya, CHADEMA nao waitazame katiba yao inayombakisha Mboewe uenyekiti milele.
 
Hutu naye keshaanza kuwa mjinga. Hoja gani za kitoto hizi? Au wamehack akaunti? Siamini kama ni yeye anaweza kuandika ujinga huu
 
Nauliza tena kwa aliyayaona hayo mahojiano, paskali alizungumzia kwa asilimia ngapi mambo yahusuyo chadema na ngapi yaliyohusu mambo mengine?
 
Aisee kwahiyo katiba ya CHADEMA ndiyo inayoongoza nchi? Katiba ya chama ccm hanaga akili kulinganisha katiba ya nchi na ya chama ni insanity wa hali ya juu
 
Nyaraka hazikuwa na maana ya "kuomba msamaha" kama Zitto alivyoamua kupotosha umma mbele ya Rais.
Na Yericko Nyerere
Mkuu Yericko Nyerere , kwanza hongera kwa andiko zuri, wewe ni mwandishi mzuri, una kipaji cha uandishi, tatizo lako ni dogo tuu, ambalo kwangu naliona kama ndio tatizo kuu la Chadema, kama mngelitatua saa hizi, siku nyingi Chadema ingekuwa Ikulu.

Tatizo lako wewe na wengi wenu ni low IQ, kwa kifupi Chadema ina vilaza sana!. Umeandika bandiko hili refu refu lote kwa ukilaza tuu wa low IQ kushindwa kuona Zitto alisema nini!. Vilaza kama wewe mliotamalaki Chedema ndio mnakifanya Chadema kuendelea kuwa ni chama cha kiharakati badala ya chama tawala in waiting!.

Aliyezungumzia kusameheana kupo ni rais Mama Samia, usimlishe Zitto maneno!. Kama hukumwelewa Zitto, sema tukueleweshe!.

Ukipata nafasi, nunua gazeti la Nipashe la leo, nenda ukurasa wa 7, kuna kitu kinakuhusu.

Jumapili Njema.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…