Ndugai alikuwa overrated. Na pia,unknown to us,alikuwa amewahi kufika Mirembe.
Lakini talking about Mirembe,sasa hivi nilikuwa nimedoze,nikaota watu wamenikat I'lla nilipokuwa matembezini,psychiatrists wamenikamata. Labda nitafute posting zangu nyingine nizi- delete. Hii serikali paranoic.
Nilikuwa Musoma wakati wa kampeni za Uchaguzi,ile Magufuli vs Lowassa. What I noticed Lowassa alopfika kule,kuanzia alipofika Mwanza,zile incidents za suicide,au watu kuuana kwa wubi wa mapenzi zilikwisha. Kwa sababu ya ile thrill and excitement of political events.
Kwa hiyo,strictly speaking,watu wakipotea,(wakiwa disoriented)the government is incompetent. It is strange that it should be called "disoriented" Kwa sababu watu ni certainly dis-Oriented.
Hawajui kuhusu tantra na mantra. Vajrabhairava Tantra, Guhyasamaja Tantra,Chakrasamvara Tantra. Agai,I say,Lowassa alifika watu wakasahau kuuana.
What was I talking about? Ah,yes,huyu Ndugai alikuwa overrated. I noticed this alivyokuwa Moshi kanisani katika ibada ya kumuombea Mengi.
Sasa watu wanakwama,hasa katika business ya state police,kwa sababu vyama vya upinzani wanalazimika kuviita terrorist organizations,for the purpose of mantaining security.