Pascal Mayalla; Hongera kwa kushinda vita dhidi ya Ndugai

Mimi kwa ushauri wangu namshauri aandike vitabu zaidi ya kimoja I mean aandike Kitabu kuhusu mambo ya kiutawala kama alivofanya Jeneral Uimwengu ,huyu Mzee kakusanya safu zake Zote alizowahi andika kwenye magazeti mbalimbali na akatoa Kitabu .Na Pasko nae tunamwomba afanye hivo.Pia Kitabu kingine aandike kuhusu mambo ya KIROHO Mana jamaa Yuko vizuri Sana kuhusu haya mambo.Akitoa Kitabu Cha mambo yakiroho ntanunua kwa Bei yoyote atayoipanga.
 
View attachment 2093199

Hapo ni April 2018. Kwangu nililiona hili kama ni personal vendetta dhidi ya uhuru wa habari na dhidi ya mwandishi mbobezi Bwana Pascal Mayalla japo mpaka leo hajawahi kutujuza ni nini kulikuwa matokeo ya kikao hicho. Tunajuwa kimoja tu kuwa walikukatia biashara zako za PPR kwenye sekta mbali mbali za umma.

Kwangu Mimi niliona yafuatayo;
1. Hukupoa kumkosoa Job Ndugai hata baada ya kikao hicho.

2. Ulitabiri kuwa Job Ndugai asingekuwa Spika 2020-25, na imetokea

3. Wewe ni MSHINDI wa vita aliyoanzisha Ndugai akitumia nafasi yake kama Spika wa Bunge dhidi yako raia usiye na madaraka wala silaha zaidi ya ubongo wako na kalamu.

Mapendekezo;
1. Kusanya nyuzi zako zote, hariri ziwe kitabu. Zitakuja saidia kizazi kijacho kwenye Elimu ya utawala Bora, Udikteta wa Bunge na madhira ya uandishi wa habari

Nawasilisha
Paskali ni mtu mwema sana.
Mtu mwema ni yule anakukosoa hadharani na unamsikia au kusomaa maandishi yake tofauti na yule anaekosoa kwa utambulisho bandia na hajulikani yuko wapi.

Maendeleo ya nchi zetu hizi yanakawia kwa kuogopa wakosoaji (critics). Wengi tumesoma basics definition na function ya friction force as the force which oppose the motion. Na faida yake kwa waendesha baskeli, pikipiki na magari kwa barabara ya lami au changarawe ni kuwa na stability ya mwendo kwa rough surface kwenye tyres na barabara kuwa rough. Na hata ikitokea kuna kuna kufunga break, rough surfaces zinasuguana yet kuna kuwa na usalama.

Paskali ilitakiwa apewe kazi nyingi kupitia kampuni yake ili kuwa na balance. Media Tanzania inazidi kudidimia baada ya "kila mwana habari kuwa reporter". Hakuna analysis, hakuna critique, habari ziko too soft. Bahati mbaya pia wanahabari wengi ni "vilaza" na hawajiamini unlike Paskali ni kichwa.
Anatoa makala kwa makagezi, ID yake iko wazi JF anatokea kwenye TV kusifia mema na kukosoa yale ambayo hayafanyiki sahihi.

Bahati mbaya aliitwa na mjengoni na hatukupata mrejesho wa mahojiano. Huenda mkuu wa mjengo hakuwa na hoja za mashiko na Paskali akawa na facts za kuweza ku-outshine hoje zao na ikawalazimu "kumezea".

Japo utabiri wake wa kupata spika umetimia, alitoa angalizo la kupewa bora spika badala ya spika bora. Ukisoma maandiko yake, japo alisikia sauti toka ndani ila kwa uwazi alipokuna na analysis ametupa majibu kuwa uhuru wa bunge kuisimamia serikali haitakuwa kama enzi za mzee wa viwango na kasi. Tutakuwa na bunge soft la kwa serikali na japo kama mshindi kwa kutimia yale ambayo aliyaona, ila the general public isitarajie ukali wa bunge kwa serikali kwa standard ya Big Sam.
 
Kuupiga mwingi ni maneno yenye maana gani?
Paskali amenyea mbingu kwenye hesabu haiwezekani jibu liwe 7 wewe upate tano eti tuseme umejitahidi

Ni sawa na Lema tu
Tumia wewe Verified account halafu jipime na Pascal, na siyo unatumia parody kum judge. Tumpe tu pongezi zake
 
Kwa kweli anastahili pongezi
ni moja waandishi wako wazi wajasiri na mahiri humu ndani .
Wengine tumejificha kwenye fake idea na bado hutuna ujasiri wa kukosoa kama yeye
Najiuliza kwanini Jf haikumpatia Tuzo
Pamoja na kuwa na mrengo wake wa chama lakini anajitahidi sana kubalance kwenye uandishi wake
Anajitahidi kuweka facts kanuni na uhalisia wa mambo, kitu ambacho wengine tunaona kama utabiri

Sidhani kama alikuwa anashindana na Ndugai personal, au as speaker
But anastahili pongezi na tuendelee kumtia moyo ktk uandishi wake haswa hapa Jf
 
Paskali ni mtu mwema sana.
Mtu mwema ni yule anakukosoa hadharani na unamsikia au kusomaa maandishi yake tofauti na yule anaekosoa kwa utambulisho bandia na hajulikani yuko wapi.

Maendeleo ya nchi zetu hizi yanakawia kwa kuogopa wakosoaji (critics). Wengi tumesoma basics definition na function ya friction force as the force which oppose the motion. Na faida yake kwa waendesha baskeli, pikipiki na magari kwa barabara ya lami au changarawe ni kuwa na stability ya mwendo kwa rough surface kwenye tyres na barabara kuwa rough. Na hata ikitokea kuna kuna kufunga break, rough surfaces zinasuguana yet kuna kuwa na usalama.

Paskali ilitakiwa apewe kazi nyingi kupitia kampuni yake ili kuwa na balance. Media Tanzania inazidi kudidimia baada ya "kila mwana habari kuwa reporter". Hakuna analysis, hakuna critique, habari ziko too soft. Bahati mbaya pia wanahabari wengi ni "vilaza" na hawajiamini unlike Paskali ni kichwa.
Anatoa makala kwa makagezi, ID yake iko wazi JF anatokea kwenye TV kusifia mema na kukosoa yale ambayo hayafanyiki sahihi.

Bahati mbaya aliitwa na mjengoni na hatukupata mrejesho wa mahojiano. Huenda mkuu wa mjengo hakuwa na hoja za mashiko na Paskali akawa na facts za kuweza ku-outshine hoje zao na ikawalazimu "kumezea".

Japo utabiri wake wa kupata spika umetimia, alitoa angalizo la kupewa bora spika badala ya spika bora. Ukisoma maandiko yake, japo alisikia sauti toka ndani ila kwa uwazi alipokuna na analysis ametupa majibu kuwa uhuru wa bunge kuisimamia serikali haitakuwa kama enzi za mzee wa viwango na kasi. Tutakuwa na bunge soft la kwa serikali na japo kama mshindi kwa kutimia yale ambayo aliyaona, ila the general public isitarajie ukali wa bunge kwa serikali kwa standard ya Big Sam.
Umeweka ukweli ambao wengi hawapendi kusema kuhusu Pascal
 
View attachment 2093199

Hapo ni April 2018. Kwangu nililiona hili kama ni personal vendetta dhidi ya uhuru wa habari na dhidi ya mwandishi mbobezi Bwana Pascal Mayalla japo mpaka leo hajawahi kutujuza ni nini kulikuwa matokeo ya kikao hicho. Tunajuwa kimoja tu kuwa walikukatia biashara zako za PPR kwenye sekta mbali mbali za umma.

Kwangu Mimi niliona yafuatayo;
1. Hukupoa kumkosoa Job Ndugai hata baada ya kikao hicho.

2. Ulitabiri kuwa Job Ndugai asingekuwa Spika 2020-25, na imetokea

3. Wewe ni MSHINDI wa vita aliyoanzisha Ndugai akitumia nafasi yake kama Spika wa Bunge dhidi yako raia usiye na madaraka wala silaha zaidi ya ubongo wako na kalamu.

Mapendekezo;
1. Kusanya nyuzi zako zote, hariri ziwe kitabu. Zitakuja saidia kizazi kijacho kwenye Elimu ya utawala Bora, Udikteta wa Bunge na madhira ya uandishi wa habari

Nawasilisha
mwenyewe anasemaga Hukumu ya Kweli ni Karma
 
Back
Top Bottom