Pascal Mayalla; Hongera kwa kushinda vita dhidi ya Ndugai

You are a very shallow minded person. Hapo utakuwa wanachama wa Chama tofauti na tena Wale wasiolewa hata Siasa Ni mchezo wa kugombania kiti, na hivyo haifanyi watu wasiendelee na mengine.
you're an imbecile... your man is quite irrelevant as of now
 
Paskali ni kiboko, yaani sijui anapataje hizo habari. Kasema Magu atakuwa rais, akasema Samia atakuwa, halafu akawa, akasema Lema atakimbilia Canada ikawa, akasema Spika au subwoofer atafukuzwa na ikawa, akasema yule Tulia, atakuja kutulia pale kwenye bunge, sasa anakuja kuwa.
 
Tabia za Ndugai zilionyesha
 
Pascal Mayalla Kwanza ni mtoto wa aliyewahi kuwa kachero wa Usalama wa Taifa, amekulia humo humo na anafahamu kupanda na kuteremka kwa watu wengi.

Pili ni msomi wa sheria na mwandishi wa habari na ana utulivu wa akili.

Tupende tusipende yeye ni kati ya magwiji wachache wa JF
 
Wakati mwingine tunamzodoa tu na kumtolea maneno machafu. Ila Paskali ni moja ya vichwa vizuri hapa kwenye jamiiforums. Ni analyst mzuri sana, hana papara wala hasira, yaani ni mtulivu. Bravo kaka Paskali
 

Hapo mwisho kwenye mapendekezo umekosea sana.Ndio maana mnauziwa vijarida halafu mnasema vitabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…