Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
Mayala anawakaanga waandishi wenzake ili atunishe tumbo lakeHahaha nadhani swali lako linaweza kumu exonerate Pascal Mayalla kwenye hii public prosecution.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mayala anawakaanga waandishi wenzake ili atunishe tumbo lakeHahaha nadhani swali lako linaweza kumu exonerate Pascal Mayalla kwenye hii public prosecution.
Huyo Mayala Pascal yn hadi kawaumiza ndo munalalamika wenye akili tuligundua anacho fanya humu jamii forum mulimushangilia bila kufikiria
Huyo Pascal ni mkabila mara elfu hana nia njema na waandishi wenzake
Hilo kuwa angemuonya limetoka wapi? Acheni ujinga yy nani?
Huyo pascal ni mutafuta fursa na ipo tayari
Yote aliyo kuwa anaandika yalichonganisha waanfishi wenzake na siyo kujenga
Jifunzeni kwa nyakati kwnn kipindi aanze kuandika
Mara eti jamaa kabadilika huyu Mayala kipimo cha kumuita Raisi kabadilika je alijua vipi kama sio munafiki huyu
Naunga mkono huyu jamaa atengewe hadi kabendera atoke nje.musicheke na joka hili linalo itwa Mayala
Ataanza mafumbo kwa mtu mwingine naye Atakamatwa soon
Mwenye kura nyama ya mtu haachi
Eti wasukuma si wakabila je anakipimo gani kujua kabila lipi lina ukabila na lipi halina ukabila, acha kugawa watanzania wewe mayalaNjaa itakuua
Lyamba lya mufipa
Control maneno mabaya tafadhali, binadamu wote hamuwezi fanana mitizamo hata kidogo...kutofautiana ideology sometimes ni changamoto positive kujipima ufahamu na umahiri wa kiintelijensia...hivi ww kahaba wa ccm umezaa kweli ww?[emoji57][emoji57]
Mie hata sijasumbuka kumuuliza kiutu maana anajifanya hana utu..tasa mkubwa[emoji57][emoji57]
Natamani wafuasi wa vyama wakuelewe vema..Kisa yuko kinyume na unachotaka aandike. Kwanza 96% sijui Kama IQ yako inamwelewaga Mayalla. Ndo mtu anayejielewa na yuko huru kama mwandishi. Ukiona mwandishi anaandika ubaya Wa CDM tu Au ubaya Wa CCM tu basi huyo Sio mwandishi ni mwanachama Wa upande mmoja. Demokrasia na Maendeleo mnatuambia inasimamia pia uhuru Wa mtu kaniandika ukweli na pia kutoa maoni yake. Humu wote maandikia hisia za kijinga. Then mnakaa mnadhani vyama ndo vitawaletea Maendeleo. Majungu mwaka mzima. No job. Kwa aina ya maisha ya uvivu na majungu Hakuna Kiongozi atakayekuja kuwafaa huko. JPM anawatosha. Kawabana mnabaki kumtungia Mambo as if Yeye katibu wa nyumba kumi. So kama ukweli ndo unakubore my dear just Die.
Sikutegemea kama uko low this much!!!Mleta mada uko sahihi
Ni Paschal Mayala kila mara alikuwa analeta mada humu za "Gazeti la Economist lamtukana Rais Magufuli", kila mara kila wakati hizo ndo zilikuwa mada zake za kichonganishi.
Je wanaowateka, kuwatesa, kuwamiminia risasi na hata kuwapoteza/kuwaua wenye mawazo tofauti unawaweka kundi gani?Natamani wafuasi wa vyama wakuelewe vema..
Wao kutofautiana itikadi ni dhambi kwao, wao MTU wa upande Fulani hapaswi kutoa maoni yake ataambulia matusi na kudhalilishwa kwa kila aina, wao demokrasia ni kusifia vyama vyao na viongozi wao na ukiwa kinyume chao utapata kadhia kuliko mtuhumiwa...
Sijajua mwisho wa hii attitude..
Ukitafakari vizuri unagundua jamaa anaonewa, kabambikiwa tuhuma na zitamuweka jele kiukweli.Mbona sijaona ulichoandika hapo kumtuhumu huyo pascal?
What if walidukua mawasiliano ya Kabendera?
Lakini pia kumbuka kashtakiwa kwa uhujumu uchumi na utakatishaji fedha. Wacha due process of law iamue.
Paschal Mayala ndo kaandika hayo maandishi ?
Ukishamjua ndio ukammalize? Shetani hana aibuWho's Fredrick Kabendera ?
Control maneno mabaya tafadhali, binadamu wote hamuwezi fanana mitizamo hata kidogo...kutofautiana ideology sometimes ni changamoto positive kujipima ufahamu na umahiri wa kiintelijensia...
Mshambulie kwa hoja, not good maneno makali.....
Typing errors nijambo la kawaida tu otherwise hukuelewa kilichozungumziwa.Huu ni upuuzi na nimeshindwa kusoma kwa sababu unachanganya r na l,
Mm sijawahi kusoma takataka Za WASUUMANaitikia wito wa kumtenga Pascal Mayalla, sitasoma Nyuzi zake, means sitachangia chochote kinachomuhusu.
#Eric Kabendera.
Hahaha mimi simtetei, wabongo tulivyo wanafiki chochote kinawezekana, ila natoa tahadhari msije mkawa mnamzushia tu bila uhakika.Mayala anawakaanga waandishi wenzake ili atunishe tumbo lake
Ninaumia Sana ninapoona mateso wanayopitia wasema kweli ninaamini Kabendera atatoka salama
Mungu ibariki Tanzania
Kosa kubwa alilofanya Pascal ni kujitambulisha kuwa ni msukuma na akajulikana kuwa ni msukuma, atajuta kwa kipindi chote cha uongozi wa ndugu yake, hata aje na uzi gani huu atahusishwa na ukabila, too bad.
Ungesahihisha jina tu usingepungukiwa chochote.
Ndo maana nimeuliza. Nasahihisha vipi wakati ndani ya text yote anatajwa Fredrick? What if mwandishi anamaanisha Fredrick Kabendera kweli? KUULIZA SI UJINGA. NILITAKA KUJUA FREDRICK NI YUPI HUYO?