Kuna ushahidi gani kwamba KABENDERA NDIYE MWANDISHI WA MAKALA ZILE.
Au humu ndimo mmeamua kumshuhudia ili apewe kesi ingine.
Je ni ERICK au FREDRICK anayehadiliwa hapa ...
UZI UMEJAA HISIA TU. KUANZIA MLETA MADA HADI WACHANGIAJI.
Au humu ndimo mmeamua kumshuhudia ili apewe kesi ingine.
Je ni ERICK au FREDRICK anayehadiliwa hapa ...
UZI UMEJAA HISIA TU. KUANZIA MLETA MADA HADI WACHANGIAJI.
Hivi Pascal Mayalla ndo aliemtuma Erick kuandika huko The Economist ?.Kina Zitto na Membe ndo wanaomtuma hao ndo waliomponza.Eti mwandishi wa habari za kiuchunguzi ? Uchunguzi gani wakati alikuwa anasubiri Rais aongee ndo yeye achambue hotuba in a negative way. Nimesoma maandishi yake yote kule The Economist hakuna habari ya uchunguzi zote ni against projects anazofanya JPM mara eti Rais anapenda mega projects alitaka apende minor projects ? Haya kina Zitto wakamsaidie na kunyea ndoo huko Segerea.